Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Anajifanya mtoto ,kuchanganya l na r ndo kaziii,,anashindwa kusema vitu anamuuliza Nuhu hiyaaaaa

sio kujifnaya hajui kuongea mwenzenu anataftaga pozi km madame wifi ila lugha ya malkia tabora alivyokuja mjini kaona fasheni kuchanganya l na r
alikua anajishaua jamani llloooh....!!!!
 
Umenichekesha eti afatilie couple ya Nuhu na Shilole yaan hua nikiwasikia hawa Nuhu na shilole sina mbavu aiseeeee

Kwa nini binamu? Wanavyohangaika kupaisha mahusiano yao mmh kazi wanayo wakaroge, ebu watupishe sie
 
Hadi mitaan hii kali hhhhhhaaaa

Chezeya sie, hakunaga miaka miaa, juzi kuna mtu alinialika dinner anasema anapendaga umbea wangu anataman sana kuniona live, mwenzangu ata sikwenda nikaogopa kumwagiwa tindikali, maana sijui nani mwema nani mbya, ila nilipenda sana kujumuika nae tupige maumbeya sema usalama kwanza
 
Hhhhhaaa alikua mwanamke au!!!!mbona mi huniogopiii
 
Tuliomo humu bila sisi hili jukwaa lingekua lishakufaa,,,,,,,

Haswaa tuna mchango sana humu, ata kama bila sisi ndio jukwaa lingenoga pia ila radha yetu ni kubwa kuliko na ya aina yake haitatokea miaka miaaa
 
Hahahaa unajua kitaa watu wanaaccess jf na kusoma vitu watu wanavyopost...ila wengi wao hawajajiunga na jf
 
Wakat ndege inaacha ardhi ndo nilitaka kupiga kelele, sijui nilikuwa nahisije, ushamba huu

Hhhhhhhaaaaaa ulienda kufanya nini Dubai,hukung'ang'ania kulee Dubai mji wa marahaaa
 
sipati picha...ulishawahi kusoma au kulike anachopost au kucomment?
 
Hahahaa unajua kitaa watu wanaaccess jf na kusoma vitu watu wanavyopost...ila wengi wao hawajajiunga na jf

Na kabla hujajiunga lazima usome kwanzaa,,mi mwenyewe nilikuaha nasomaaa
 
Hhhhhaaa alikua mwanamke au!!!!mbona mi huniogopiii

Alikuwa ni mwanamke, halafu sijawahi kumuona humu jukwaan hata siku moja, so ikanipa hofu kidogo, sasa wewe nikuogopee nini?? Toka lini mchawi akamuogopa mchawi mwenzie? Ebu nipishe mie usiniletee mabalaa apa
 
Haswaa tuna mchango sana humu, ata kama bila sisi ndio jukwaa lingenoga pia ila radha yetu ni kubwa kuliko na ya aina yake haitatokea miaka miaaa

Siku nikianza kua busy ntawamissijee ntakua naingia mara moja mojaa
 
Hahahaa unajua kitaa watu wanaaccess jf na kusoma vitu watu wanavyopost...ila wengi wao hawajajiunga na jf

Ahahah!!! Kuna mtu alini Pm akasema yeye alijiunga jf kwa ajili yangu nilikuwa namfuraisha sana na umbea wangu, kwa kweli nilijisikia vizur kuwa inspire watu ata kama ni umbea ila inaleta raha kuona watu wanapenda unachofanya
 
unajua sio lazima kumpa mtu hela au hekima hata kumpa mtu furaha au hata kumuonesha mtu mtazamo tofauti katika maisha ni jambo zuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…