Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Binamu karibu kwa mikono miwili, Dinazarde team inaongezeka, chezeya sie mamaeeeeeee
Asante binamu. Nachelewa kuingia humu bina majukumu,ila napenda sana umbea wako na ww ndo ulinivuta mpaka nikajisajili coz nilikua naingia humu kila siku natafuta michango ya gossipwarumi nicheke niongeze cku za kuishi mie
 
Last edited by a moderator:
Yule jamaa alikoma mwenyewe anajidai yeye muuza genge na muda wake wa kuingia saa kumi jioni baada ya shemeji yake kurudi kibaruani na kumuachia laptop.

Aiseeh alituchachafya, eti majobless
 
Au alikuwa Matola maana jamaa alikuwa anatuweza aiseeh, akiingia mnapewa vichambo heavy aiseeh

Sio matola ni sunglass alietuita jobless hhhhhhhaa
Matola siku akiamka vibaya unaloo
 
Last edited by a moderator:
Asante binamu. Nachelewa kuingia humu bina majukumu,ila napenda sana umbea wako na ww ndo ulinivuta mpaka nikajisajili coz nilikua naingia humu kila siku natafuta michango ya gossipwarumi nicheke niongeze cku za kuishi mie

AHahaha aisew, karibu sana, nasikia raha sana kusikia hvyo
 
Sio alizidiwaa kupiga picha na mabebezi akaona ajipige nyeto hhhaaaa

Jana binamu niliona mtu kanifungulia thread sijui nani yule, sema bundle iliisha ata sikuingia kusoma, baadae nafungua uzi siuoni, shout out kwake popote alipo
 
Sio matola ni sunglass alietuita jobless hhhhhhhaa
Matola siku akiamka vibaya unaloo

yani ilikuwa niliona tu matola kani quote najua hii michambo tu hakuna cha zaidi
 
MTU mbea unaitaji mdomo uwe mrefu hivi kama kasuku alafu ukiwa unaandika hapa umbea use unauzungusha hivi kwa kuubinua hats MTU akikuona anajua warumi huyooo
 
MTU mbea unaitaji mdomo uwe mrefu hivi kama kasuku alafu ukiwa unaandika hapa umbea use unauzungusha hivi kwa kuubinua hats MTU akikuona anajua warumi huyooo

Ahahaahaa ahaahaaa hataree
 
Hhhhhhaaaaaa kumbee eeee

Ivi binamu ulishawahi kusikia uko mtaani kwenu mtu yeyote anayeitwa warumi? Maana mimi sijawah kusikia kabisa na sijui kwa nini nilitumi hii ID ya warumi, hahahah
 
Last edited by a moderator:
Ahaahah ahaaha halafu binamu kwenye ligi ata sikuonagi, we unakujaga tu kuchochea kuni halafu unakimbia

hahaha nikae nigeuziwe kibao maan mtu akishakolewa na vichambo hata wasiokuwepo atawazoa mi naogopaga aiseeee ila watu wakichambana napenda unajua yaliyomo kama yamo unapata na misamiati mipya kwa matumizi ya badae
 
Ivi binamu ulishawahi kusikia uko mtaani kwenu mtu yeyote anayeitwa warumi? Maana mimi sijawah kusikia kabisa na sijui kwa nini nilitumi hii ID ya warumi, hahahah

Warumi si ipo kwenye biblia,sijawah kusikiaa mtaani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…