Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Tulivyo na roho ngumu tutahama basi tutakomaa nao humu humu
Aaaaaaaah ulichambwaje maskini aaaaah nilikuwa nasoma had nakuonea huruma, mambo yalikuzid, kutesa kwa zamu sasa iv zamu yetuuuuuu njoo tucheze zetu ole thembah apa
Hahahaaaa uwiiii siasani naanzaje jamani?
Haha haaaa wewe nae tokea ufungue a/c insta umekua adimu kama nini...mwenzio nimepahama labda nirudi kwa hii habari njema
Tunaenda kushangaa na kujua si ajabu nchi ilishauzwa.Na pia tunaenda kuangalia habari za tezi dume
Chezea roho ngumu za paka.Tutakomaa hapa hapa
Yule mwanamke pale alipo hajitambui hata ukimuweka ndani hesabu kuugua presha.Mwanamke gani hana staha mbele za watu mjuaji yeye,mzuri yeye,mropokaji yeye,bingwa wa vigodoro,mama wa makiss aaargggghhhh!!!!
Niko busy tu wala sipo insta miee nikiingia hata kupika ntashindwa aiseeee umbeaa utakua umbea tuu
Tunaenda kushangaa na kujua si ajabu nchi ilishauzwa.Na pia tunaenda kuangalia habari za tezi dume
Una id nyingine wewee ipi hiyo hhhhhaaaa
Shoga acha tu mimi nilikua sina time na mume akirudi mimi na simu tu akiangalia ni insta....hahahaaa ikafutiliwa mbaliiiii sina hata mzuka nayo tena naogopa nisikamatwe
Uwiiiiiiiiiii jamaniii Heaven ataumiajee anaipenda hii couple mpaka basii
Mi nimefurah waachanee tuuu halaf wakirudiana safari hii warumi tuwaendee kwa mganga tuwarushie vipande haiwezekani watuaibisheeeeee mfyuuuu
Subiri tu itaijua...wewe usifungue mapema eeeh subiri hadi ule ban
Hhhhhhhaaa yaaan hizi simu ni ugonjwa aiseee zikipotea zirudi za tochi tu watu wataandamanajee
Wala siwaamishi bali Mimi ndivyo ninavyo amini! Lakini muda huongea ...
Naomba niwe wa mwisho kuamini kuwa Diamond na Wema wameachana ...hii nayo ni project ...time will telll
Aaa kuna mtu alinikonyeza nishaikumbuka halaf niliipa makavu siku moja nilikua sijui kama ni wewee
Ilikua ni shida binamu siku hiyoo Kim nana akaniacha yaan nikabaki na BADILI TABIA ilikua shidaa Paula kilaki ukujee
It seems u love the couple, pole bro, ila hakuwa mwanamke mzur wa kutilia n diamond, ila ndo hvyo, ndomo alimpenda wema ila wema alipenda pesa zaidi, pole team wema popote mlipo