Hahahaaaa nakumbuka enzi hizo ilikua hatariiii mimi nilikua nasoma tu hata kufungua id sijui...
Pia ligi ya hao uliowa mention ilikua hatareeer
sasa na vile vipande vya daidomo kwenye IN MY USHUZI ya mama ubaya, ataviondoa au? najiuliza tu
Kuna fa...la huwa anaiba ID yangu kule kwa mange bwana. Nikimchamba mange anabana
Dinazarde, nifah, Honey Faith, geniveros kujen uku tucheze kiduku, yale maombi yetu ya siku nyingi yamejibu, hatimaye NDOA hakuna tena
Ila binam ndoa ya uwanja wa taifa linii,,ili tufe kabisaaa
Dinazarde, nifah, Honey Faith, geniveros kujen uku tucheze kiduku, yale maombi yetu ya siku nyingi yamejibu, hatimaye NDOA hakuna tena
Muda Sana linatumia id yangu sijui majina yameisha. Naandika mrembo by nature jfNilichukia shogaaa nikasema mrembo kashindwa kusoma tu mpaka ajiunge hukuuu kumbe limekuigilizaaa ndo ujue jf inakimbiza mbayaaaa dadeeekiii
Hua unamchamba kwa id ipi ??
Wanamke matunzoooo mgomba kupalilia...chombeza na safari za nje kidogo mambo mswanoMchikini mundi umekwisha chacha ndo ukome uache upareeeee mwanamke matunzo babue
Wema na diamond wanacheza na akili zetu na sisi tumekubali kuchezewa..kweli kabisa hata hyo ndoa ya u.taifa naona itakuwa maigizo wakusanye hela zenu wasepe
Muda Sana linatumia id yangu sijui majina yameisha. Naandika mrembo by nature jf
Shoga acha tu mimi nilikua sina time na mume akirudi mimi na simu tu akiangalia ni insta....hahahaaa ikafutiliwa mbaliiiii sina hata mzuka nayo tena naogopa nisikamatwe
Wewe zamani hili jukwaa lilikua linavamiwaaa,tunamchangia Matola kumchamba mi na warumi,,,basi Warumi ananifata pm ananiambia binam Dina tunalichamba lakini linachamba hiloooo yaan nilitaman kuchanika mbavuuu
Basi mwenzangu siku hizi wamepoa alikuwepo matumbo nae alikua mtata balaa na wengii walikua wakimchamba warumi weweee
AHAHahah aahaa ilikuwa shidaaa, maana kuna watu wanachamba nyie hapana, ila sisi tunavyopenda umbea tumekomaa tu mpaka leo, ila Matola kanichamba nyie ilikuwa nikiona jina lake najinyea kabisa aaaaaaaaah aaaah
ndo mana mi siko active sana mana ngosha akija simu naweka pembeni kabisa siku hata siku nzima siingii naogopa
Yaan zamani tulichambwaa haswa wewe mi nilikua nakusaidiaa,nawe basi ukichambwa kidogo tu huyo utatoa tusi moja ,,yanakuwah kureport unalimwa ban hhhhhhhaaaqq