Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hahahaaaa nakumbuka enzi hizo ilikua hatariiii mimi nilikua nasoma tu hata kufungua id sijui...
Pia ligi ya hao uliowa mention ilikua hatareeer
Zamanii kama una moyo mdogo huingiii,ukikoment utashangaa unapatwa tusi hilooo ilikua shida sasa hivi mbona hamnaa hhhhhaaaaa unakoment kwa raha zako tu