Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Wabongo bwana ni watu hushinda JF 24 hours kila post wanaponda hasa za Wema na Diamond , za Sitti Binti Kasri kimyaaaaa cc.WARUMI :mmph:

watu ambao hawataki Majukwaa Mengine kama Siasa na Dini i!
:confused3:

Watu ambao wanatumia Muda wa kazi kukaa mbele ya compyuta zao za Chongo na Kuponda weeee wakati sura zao kama vichogo vya Compyuta zao

Wema & Diamond miaka 800 acha Muvi iendelee Babu we !
:coffee:
 
binamu warumi chokozo limeanza huku ila hata ka kompyuta ya chogo au ugoko ujumbe si unafikaa aah!si unafika lakini jamani?
 
Last edited by a moderator:
binamu warumi chokozo limeanza huku ila hata ka kompyuta ya chogo au ugoko ujumbe si unafikaa aah!si unafika lakini jamani?

Nimesemwa sana binamu, kama kusemwa ingekuwa kifo, ningekufa zamani, waache watape tape maana soon watakata roho
 
Last edited by a moderator:
Wakina mwafulan mliokuwa mkisubiria ndoa ya wema na ndomo uwanja wa taifa mtasubir sana mpaka mchanganyikiwe ***** zenu, kama mlikuwa mnapenda couple ya ndomo na mama ubaya ndo vile haipo tena, tengenezen couple yenu tuh na nyie

Wamtengeneze lulu na jamaa yoyote wanayempenda kwenye team yao.
 
Bina nimefika, nacheka hapa kama chizi. Humu watu hawajatulia kabisa hahaha. nimecheka wewe na warumi mlivyojiquote afu mkajichamba haahahaha. geniveros nimekumbushwa leo ulivyosema "na mimi mmbea mwenzenu nipokeeni" mweee

Ahahah ahaah hii team yetu ina vichaa sana , hahahaha dah hatariiii
 
Last edited by a moderator:
Sio Shabiki wa diamond wala Wema ila mi hii couple naona imefit sana natamani iendelee hivi hivi ingawa ni vigumu maana maisha yao yako kirokesheni sana
 
Bina nimefika, nacheka hapa kama chizi. Humu watu hawajatulia kabisa hahaha. nimecheka wewe na warumi mlivyojiquote afu mkajichamba haahahaha. geniveros nimekumbushwa leo ulivyosema "na mimi mmbea mwenzenu nipokeeni" mweee

mwenzangu nilikua nnawasoma tuu watu humu kina tatiana,warumi,heavens wote nk siku niliyofanikiwa kujiunga nikawaambia kabisa jamani mi mbea tena sana
 
Last edited by a moderator:
mwenzangu nilikua nnawasoma tuu watu humu kina tatiana,warumi,heavens wote nk siku niliyofanikiwa kujiunga nikawaambia kabisa jamani mi mbea tena sana

Ahahaha aisehh, kumbe na sisi tunasumbua eeh mtaa wa pili eeh??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…