Wabongo bwana ni watu hushinda JF 24 hours kila post wanaponda hasa za Wema na Diamond , za Sitti Binti Kasri kimyaaaaa cc.WARUMI :mmph:
watu ambao hawataki Majukwaa Mengine kama Siasa na Dini i!:confused3:
Watu ambao wanatumia Muda wa kazi kukaa mbele ya compyuta zao za Chongo na Kuponda weeee wakati sura zao kama vichogo vya Compyuta zao
Wema & Diamond miaka 800 acha Muvi iendelee Babu we ! :coffee: