warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown alifanikiwa kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard.
Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile Soudy alichokuwa anamuuliza, Gossip Cop alilazimika
kuzima kifaa cha kurekodi sauti ili Diamond ampe story kamili.
Story ilikuwa inahusu Diamond na Wema kutokana na kile kinachosemekana wameachana,
majibu ya Diamond yameonesha hawako pamoja na kuzitaja baadhi ya sababu zilizopelekea kutokea hilo, ikiwa ni pamoja na zawadi ya gari aina ya BMW ambalo anadai
Martin Kadinda hawezi kumpa, pamoja na safari za Wema China ambazo anadai kuna mtu mwingine aliyekuwa anazifadhili.
Diamond hajazungumza chochote kuhusu yeye na Zari the Boss Lady.