Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown alifanikiwa kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard.

Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile Soudy alichokuwa anamuuliza, Gossip Cop alilazimika
kuzima kifaa cha kurekodi sauti ili Diamond ampe story kamili.

Story ilikuwa inahusu Diamond na Wema kutokana na kile kinachosemekana wameachana,
majibu ya Diamond yameonesha hawako pamoja na kuzitaja baadhi ya sababu zilizopelekea kutokea hilo, ikiwa ni pamoja na zawadi ya gari aina ya BMW ambalo anadai
Martin Kadinda hawezi kumpa, pamoja na safari za Wema China ambazo anadai kuna mtu mwingine aliyekuwa anazifadhili.

Diamond hajazungumza chochote kuhusu yeye na Zari the Boss Lady.
 
Mmmh kazi ipo ngoja tuwasikilize nyie
 
Wakina mwafulan mliokuwa mkisubiria ndoa ya wema na ndomo uwanja wa taifa mtasubir sana mpaka mchanganyikiwe, kama mlikuwa mnapenda couple ya ndomo na mama ubaya ndo vile haipo tena, tengenezen couple yenu tuh na nyie
 
Heheheheeeiya wapi shem darling???kuna watu hatutawaona hapa mwezi mzima wanaugulia madame wao kamwagwa...

Tulichambwa mie na Dinazarde mama ubaya alivyopewa magar mawili, kipindi hicho nimepewa ban roho iliniumaje?? Manina zao leo kiko wapi mbwa koko team mavi wapo kimya wanaona aibu, dah apa nimefurahi sana
 
Last edited by a moderator:
Wapi harusi ya uwanja wa taifa?Watu walipiga promo weeee sasa hivi wavikalishe maana yamewashuka.Tukutane wapi tunywe moet tupoze makooo

Hahahaaa dini ingekua inaruhusu ingebidi tutafutane jamani...habari nzuri sana hii
 
Wapi harusi ya uwanja wa taifa?Watu walipiga promo weeee sasa hivi wavikalishe maana yamewashuka.Tukutane wapi tunywe moet tupoze makooo

Meeting muhimu, maana watu walizid kujipendekeza maana wengine walijitolea suti bure, sasa sijui itakuwaje, aibu jaman, hii ni funga mwaka
 
Tulichambwa mie na Dinazarde mama ubaya alivyopewa magar mawili, kipindi hicho nimepewa ban roho iliniumaje?? Manina zao leo kiko wapi mbwa koko team mavi wapo kimya wanaona aibu, dah apa nimefurahi sana

Nakumbuka sana,ukatuacha mimi na Dinazarde nae pia akala ban ya siku moja....show ikaendelea mimi na miss Strong nae akala ban...uwiiii ilikua sheeedah hadi nikabaki na lethargy tuu
 
Last edited by a moderator:
Ni uhakika hawa watu hawajaachana kama wanavyo jaribu kuonesha!

Hizi ndizo wanazo zitumia timu ya Diamond na Wema kufanya biashara na Hakika hufanikiwa kabisa!

Nina uhakika Soon Diamond atatoa wimbo na baada ya siku chache itasemekana wamerudiana ili waendelee kupiga!

Hawa hawawezi kuachana na bila shaka Diamond hawezi kufanya biashara vizuri bila Wema hata yeye anajua.....na ukweli ni kwamba Wema ana nguvu kubwa kwenye biashara ya Diamond na ambaye aweshawai kuhudhuria show ya Diamond akiwa na Wema atakuwa shahidi!

Hii ni njia ya kuteka akili za wabongo ili kufanya biashara na katika hii timu ya Diamond naipongeza kabisa! Kama gari ndio chanzo basi Wema na Diamond wange achana kabla ya birthday part ya Diamond!

Huu ni mchezo tuu..
 
1415881206239.jpg
 
Back
Top Bottom