Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

warumi hujaona pm yangu ya umbea au unajifanyishaaaa,,,NYOKO ZAKOOO ndo nishasemaaa
 
Last edited by a moderator:
Warumi nawe mi nlijua unaumwa kweli,kidogo niulize hospitali nije.

Aaaaah utatuweza na binamu yangu, maneno mengi kama tumemeza cherehani. Thanks for caring cuzoo mi mzima wa afyaa
 
warumi hujaona pm yangu ya umbea au unajifanyishaaaa,,,NYOKO ZAKOOO ndo nishasemaaa

Aaaaaah aaaaaah nimeusoma aiseeh, daah huyo jiran yetu katishaaa, kakumeshaa si unajifanya mdomo juu kama kasuku, aaaaah ebu kajibu pm nimtafute nimpe na zawadi kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Aaaaaah aaaaaah nimeusoma aiseeh, daah huyo jiran yetu katishaaa, kakumeshaa si unajifanya mdomo juu kama kasuku, aaaaah ebu kajibu pm nimtafute nimpe na zawadi kabisaa

Ni shida binam,,hebu kanijibu kule kule mfyuuuuuuuu ila kaniwezaje, memeeeeeeeee Dina naanzajeee kwanzaaaaaa
Binam ina maana watu hawataniwi kidogoo tuu
 
Laveda jamanii kalewaa eee mzuka mwingiii au umaarufu kunukaa,,,,,,friday night mmmmh
 
Ni uhakika hawa watu hawajaachana kama wanavyo jaribu kuonesha!

Hizi ndizo wanazo zitumia timu ya Diamond na Wema kufanya biashara na Hakika hufanikiwa kabisa!

Nina uhakika Soon Diamond atatoa wimbo na baada ya siku chache itasemekana wamerudiana ili waendelee kupiga!

Hawa hawawezi kuachana na bila shaka Diamond hawezi kufanya biashara vizuri bila Wema hata yeye anajua.....na ukweli ni kwamba Wema ana nguvu kubwa kwenye biashara ya Diamond na ambaye aweshawai kuhudhuria show ya Diamond akiwa na Wema atakuwa shahidi!

Hii ni njia ya kuteka akili za wabongo ili kufanya biashara na katika hii timu ya Diamond naipongeza kabisa! Kama gari ndio chanzo basi Wema na Diamond wange achana kabla ya birthday part ya Diamond!

Huu ni mchezo tuu..

Mkuu hamna mchezo hapo hiyo ndo imetoka
 
Diamond anajua Kiba anabebwa tu na matapeli wa mziki Tanzania.
 
Watu wengine co waelewa uzi unamzungumzia diamond na wema we unamuingiza alikiba wapi na wapi buuuuuuu kwani alikiba ndo kawaachanisha

Hata mie nimeshangaa Ali Kiba anatokea wapi sasa watu wengine bwana hovyoooooooo
 
Back
Top Bottom