Hahaha... Usikute wewe bado unakula na kulala sebuleni kwa Shemeji yako...Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
duuh! lakini amejitahidiHakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Wazee wa "mofaya" iliyobuma mna wivu balaaTena we umeongea ukweli ila huko Tanzania watawadanganya wabongo na walivyo wajinga wataamini kuwa Diamond katia fora Marekani kumbe kapiga kwenye kaukumbi ka shule tu na ni wabeba mabox chini ya 200 ndiyo watakaoudhuria. Ngoja ifike hiyo Jumamosi, utasikia uwongo mwiiiiiingi when there's no truth at all.
Wazee wa "mofaya" iliyobuma mna wivu balaaTena we umeongea ukweli ila huko Tanzania watawadanganya wabongo na walivyo wajinga wataamini kuwa Diamond katia fora Marekani kumbe kapiga kwenye kaukumbi ka shule tu na ni wabeba mabox chini ya 200 ndiyo watakaoudhuria. Ngoja ifike hiyo Jumamosi, utasikia uwongo mwiiiiiingi when there's no truth at all.
Wazee wa "mofaya" iliyobuma mna wivu balaa
Wivu wa Standard GaugeHakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaaHakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Mkuu si wivu, Diamond akienda Marekani hapigi kwenye ma HALL ya maana, I can assure you 100% ni steji tu za shule (Gym) ama vihall tu vya kijinga akirudi Bongo anawadanganya wadanganyika.
Mkuu life vipi huko,Nina ndoto ya kuja kubeba box hukoDogo tulia weweee,Mimi ni show kali weweee,wengine bongo tumeiacha miaka 20 iliyopita,tunagonga watoto wakali tu huku,na nikiwa ukumbini nitakwenda kwenye dancing flow uone nitakavyokuwepo kwa show na nitarusha pic humu humu
Clue Niaje??? Vipi rafiki zako wanugu huwa wanahudhuria show kama hizi???Hako ka Atlanta anakoenda ku perform kesho being one of them. Kadarasa ka kindergarten ♀️♀️♀️
Clue Niaje??? Vipi rafiki zako wanugu huwa wanahudhuria show kama hizi???
Hahaaaa!!!! Kwa huku bongo watu wanadhani ni Bonge la event huko,Wanamjua kwani?? [emoji3][emoji3] kina nyani ngabu wasipoenda basi tena
Mkuu life vipi huko,Nina ndoto ya kuja kubeba box huko