serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Hahaha... Usikute wewe bado unakula na kulala sebuleni kwa Shemeji yako...Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi