Diamond Aichafua Marekani

Diamond Aichafua Marekani

Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Hahaha... Usikute wewe bado unakula na kulala sebuleni kwa Shemeji yako...
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
duuh! lakini amejitahidi
 
Tena we umeongea ukweli ila huko Tanzania watawadanganya wabongo na walivyo wajinga wataamini kuwa Diamond katia fora Marekani kumbe kapiga kwenye kaukumbi ka shule tu na ni wabeba mabox chini ya 200 ndiyo watakaoudhuria. Ngoja ifike hiyo Jumamosi, utasikia uwongo mwiiiiiingi when there's no truth at all.
Wazee wa "mofaya" iliyobuma mna wivu balaa
 
Wivu wa Standard Gauge
 
Shoot to Kill. Hongera kwake, at least the guy is taking Tanzania music beyond borders. Let him be the flag bearer for bongo music.

What's Up Chibu... holla atcha!

-Kaveli-
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaa
 
Dogo tulia weweee,Mimi ni show kali weweee,wengine bongo tumeiacha miaka 20 iliyopita,tunagonga watoto wakali tu huku,na nikiwa ukumbini nitakwenda kwenye dancing flow uone nitakavyokuwepo kwa show na nitarusha pic humu humu
Mkuu life vipi huko,Nina ndoto ya kuja kubeba box huko
 
Huku mkuu ni byee tu,muhimu ni kujituma tu huku utapata hela,wenzetu hawana longo longo,huwezi kufa kwa njaa huku,karibu sana,nipo na machizi kibao tu wa east africa wanapiga show kama kawa na life linasonga
 
Back
Top Bottom