sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Msanii namba moja Africa Diamond Platnumz au mashabiki wake wanapenda kumuita Simba mnyama mkali amekuwa trend namba moja nchini Qatar.
Diamond amefanikiwa kuwa trending namba moja kwenye waandaaji hao wa World Cup akiwa na wimbo wake Watasubiri alomshirikisha malkia wa muziki Africa ya Mashariki yani Zuchu wa Kopa.
Yani kwa kifupi mpka kizazi hiki tunakufa wote hatatokea msanii ataeweza kutrend namba moja Qatar au nchi yoyote nje ya East Africa zaidi ya Diamond lakini wale wenye roho za husda watasema inawezekana so kama inawezekana mwambie msanii wako nae atrend hata nusu saa tu nchi kama Qatar.
Jamani Simba kashindikana fanyeni tu ushabiki kuchangamsha muziki ila huyu jamaa sio binadamu wa kawaida. 😂😂😂