Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
Sio wewe Ila ni sinza inakuharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limekupata hili kerubi wee, poleeeeeh.Wacha awe Domo,ila ana pesa!
Akitoka nje,huyo ni wetu sote ushabiki na uchawa wa kiba na mond,tuuache pale terminal 3.
Ndyoooooh mbna iko wazi kabisa.Watavunja viwanja [emoji1787][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie huyu niweke ngoma za zuchu? Sasa nyimbo gan yake ya kuweka mie?Ukute ring tone yako ni ngoma za zuchu na playlist yako 2/3 ni wasafi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni wivu tu
Sukari[emoji6][emoji6] au hii nyingine inayibamba mi siijui jina naamini unayo na unajua mashairi mwanzo mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie huyu niweke ngoma za zuchu? Sasa nyimbo gan yake ya kuweka mie?
Hahahah makerubi kazi mnayoooo, woiiiiiiiiiiih
Yani baada ya mashindano wana mpango wa kugawia viwanja chi zingine😂🙌🏽!Quatar ina wakaz only 3 million , kule hata wasanii hamna na mambo ya intertainment yapo chini , Wana issue zao za mafuta, gas + international flight , umbea wa kushinda YouTube kama watz hawana ....
Hata viwanja vya WC mashindano yakiisha vitakuwa useless na wamepanga kuvibomoa au kugawia nchi zingine , na hata timu Yao wachezaji hamna , kuna wajuba wa West Africa wamezamia na kuomba uraia na wataitumikia timu ya Taifa kwenye michuano ...
Kutrend quatar sio mchongo kivile kama unavyotaka kuaminisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh sanaa siwezi weka nyimbo za zuchu ktk play list angu. hana ushawishi kwangu,Sukari[emoji6][emoji6] au hii nyingine inayibamba mi siijui jina naamini unayo na unajua mashairi mwanzo mwisho
Ukitendwa utaziweka hadi status [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh sanaa siwezi weka nyimbo za zuchu ktk play list angu. hana ushawishi kwangu,
Khaaaaah wee lol.
Ni kweli.Yani baada ya mashindano wana mpango wa kugawia viwanja chi zingine[emoji23][emoji1430]!
Mariooo yupo na atawajibika ktk hilo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitendwa utaziweka hadi status [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Mariooo yupo na atawajibika ktk hilo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WCB wanitue kabisaa, hawana nafas kwangu.
Heheheheh lako hilooo. Uwiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Ila yule Mama kaimba uje Aliyepewa kapewa Daima hapokonyeki..!Flying high..! Usimuonee wivu aliyepewa kapewa..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limekupata hili kerubi wee, poleeeeeh.
Mie nawaweza wote hawa makerubi wa domokayaa humu ndani, ko hawanisumbui hata kidogo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwa nn ukienda tofauti na mawazo ya wengine unaishia kutukanwa
Nitakuamisha JF ili ni onyo la mwisho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakuanza wee kwani tena kwa dildo, nipishee kuleeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umeanza kuvurugwa?Nitakuamisha JF ili ni onyo la mwisho.