Diamond aisimamisha Qatar na kuweka heshima kwa Africa

Diamond aisimamisha Qatar na kuweka heshima kwa Africa

Acha kutisha watu ewe ndorobo!
Amtishe nan sasa? Sie yeye awaulize chawa wenzake balaa langu wanalijua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kavurugwa huyu shost. Uwiiiiiih.
 
Sukari[emoji6][emoji6] au hii nyingine inayibamba mi siijui jina naamini unayo na unajua mashairi mwanzo mwisho

Nimegugo inaitwa "mwambieni"
Hiyo mwambieni unaiskilizaga hadi ukaeza kuigoogle [emoji28]
 
Amtishe nan sasa? Sie yeye awaulize chawa wenzake balaa langu wanalijua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kavurugwa huyu shost. Uwiiiiiih.
Wanawake hawawi hiv dada kuna vitu vyakuchukia ila sio kama hivi
 
Wanawake hawawi hiv dada kuna vitu vyakuchukia ila sio kama hivi
Sasa hilo anza na huyo chawa mwenzio, aliyekua ananitisha eti anasema atanihamisha JF, tena umueleze kwa upana kuhusu balaa langu, na aangalie wa kuwatisha, asiwe anakurupuka tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani viwanja walivyotengeneza kwa pesa wakaajiri mafundi ,ma contractor ,ma engineer baada ya kombe la dunia vitavunjwa ?
Ndio maana yake Mkuu,kuna viwanja vimejengwa ili kazi ikiisha vifunguliwe,Qatar ni nchi ndogo ila ni nchi tajiri sana.
 
We ndorobo , kipi kisichowezekana mbele ya pesa, au unadhani Qatar ni manzese ..hamuangalii habari hamfuatilii habari, mnafuatilia mandorobo wenzenu akina diamond na zuchi wamefanya nini leo.
[emoji23]
 
We ndorobo , kipi kisichowezekana mbele ya pesa, au unadhani Qatar ni manzese ..hamuangalii habari hamfuatilii habari, mnafuatilia mandorobo wenzenu akina diamond na zuchi wamefanya nini leo.
Sijakataa mwanangu kinabo [emoji3]. Kama qatar pesa hamna

Mi nimeomba verified source ya habari yako ewe ndugu yangu unaefatilia habari

Nipe source ya habari acha makelele mengi sasa hutakuwa una tofauti na sisi wa Manzese kama unaropoka tu
Sema nini we mwenzetu tu [emoji3]
 
Sasa hapa ndio naanza kuamini mashabiki wa muziki hasa kiba na Diamondi wote ni maandazi tu [emoji23][emoji1787][emoji38]

Huyu mwengine anashabikia Diamondi ku trend qatar ka kijinchi kidogo wakati Davido amekuwa included ktk watarishaji mziki kwenye hilo kombe la dunia

Huku wa kina kiba fans wanasema qatar wanavunja viwanja walivyojenga kwa ajili ya kombe la dunia nawaambia walete sources holaaa

Sasa kweli nakosea kuwaita maandazi

Eti cocastic ?[emoji3]
 
Pia wamesema baada ya kombe la dunia watagawa baadhi ya viwanja kwa nchi zingine😂😂
 
Back
Top Bottom