Diamond aitwa TRA kuhojiwa

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386


Ofisi za serikali zimeendelea kumuandama diamond platnumz Taarifa iliyoanza kutoka Feb 22 na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja na hii ya Diamond Platnumz kuitwa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ajili ya mahojiano mafupi. Kupitia post yake aliyoipost instagram Diamond Platnumz ameandika.

>>Mapema leo nilipo ripoti makao makuu ya TRA baada ya kuitwa ili kuelezea ni namna gani nayapata mapato yangu na namna gani nalipa kodi ya serikali’. Hii itakua ni mara ya pili kwa Diamond Platnumz kuitwa na mamlaka hiyo,mara ya kwanza ilikua mwaka mmoja uliopita ambapo Mamlaka hiyo ya Mapato ilimkadiria kodi ambayo Diamond alitakiwa kulipa na kwa bahati nzuri Diamond Platnumz aliilipa hiyo pesa.
 
Nahisi wanamtumia kama urimbo (kibiashara/hamasa) ili wananchi wa kawaida nao wahamasike kulipa kodi...maana wasanii wapo wengi sana but why only diamond?

Kuhusu kupiga picha na huyo kiumbe nazani ni ndoto ya wengi, so ni ufagio kdg kuuza nae, maana hata afande nani cjui yule alisema ni bahati pia kupiga picha na mwanamuziki maarufu afrika na duniani kama diamond.
 
Mbn Alli k cjawahi ona akiitw tra au yeye mapato hayaingii mpk wanaona haina haja kumuita!!? Jaribu kufikr tu sina mamb ya uteam
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
the real definition of success,komaa kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…