Kwa Tanzania hii?? Hebu tupe takwimu zako ni mwanamuziki gani anayelipwa au mwenye Pesa kuliko huyu dogo? Nilikuwa najua zamani kidogo, mwanzoni wa 2000,Jide komandoo ndo alikuwa mpango mzima.Kwa mtazamo wangu Mond yuko Poa na hapendi friction na serikali yake.