Diamond aja na Wasafi Festival kushindana na Fiesta?

Kichwa cha habari kimekaa kihovyo hovyo.... jifunze kuandika, otherwise waache wafanye wasanii wapate pesa na wafanyabiashara na wananchi waburudike
Una tatizo kubwa kwenye argumentation skills zako. Unawezaje kucriticise bila kuonesha mbadala? Nikisema haujielewi utasema nimekutukana?
 
Kwani WCB ndio wa kwanza kuandaa matamasha mbona EFM wanaandaa,akina majizo kipindi cha kwafujo DJ walikuwa na matamasha yao ina maana nao walikuwa wanashindana na CMG.Wewe ndio juha Refer kichwa cha habari chako.Ila leo WCB wanaandaa tamasha lao unaona wanataka kushindana na CMG,acha mentality za kijinga.
 
Wafanyabiashara wote ni washindani wanashindana, kwani haujui kuwa EFM wanashindana na cloudsfm,radio one, east Africa radio? Kwa hiyo unataka niseme Wasafi media wao hawashindani? Yaani waingie kwenye soko la ushindani si kwa ajili ya kushindana? Acheni ***** nyie hayo mateam yenu yasiwafanye mjitoe ufahamu kwamba hamjui biashara ni kushindana? Fair Competition Act ilitungwa kwa ajili hiyo hata Mondi mwenyewe anajua anashindana, na anajua kuna watu wanashindana naye!
 
Mjadala wangu haujajikita kwenye timu(Acha kubadilisha magoli),ila wewe mwenyewe na mitazamo yako ya kijinga,zamani kulikuwa na matamasha kibao tu (Kwafujo dj's walikuwa wanaandaa matamsha mengi tu),lkn sijasikia ujinga na upuuzi kama huu uliouweka hapa wewe(Refer kichwa cha habari yako ) .Ila leo WCB wanaanda tamasha lao unasema wanashindana na CMG,si upuuzi,kwa hiyo kila afanyapo WCB anashindana na CMG.
 
Kwa hiyo boss unataka kusema WCB haipo kwenye soko la ushindani nchini?
 
Kwa hiyo boss unataka kusema WCB haipo kwenye soko la ushindani nchini?
Wapo lkn si kwa kila wakifanyapo ufanye comparison na CMG. Kwafujo Djs akina Majizo walikuwa wanaandaa matamasha lkn sijasikia kuwa wanaandaa kwa nia ya kushindana na CMG. Tatizo jamaa kichwa chake cha habari alivyokiweka utazani CMG peke yao ndiye mwenye mamlaka na kuandaa matamasha tz, mwengine akianzisha nongwa. Kwanza Kwafujo walikuwa wa kwanza kuandaa matamasha kabla ya hao CMG.
 
Hujamuelewa tu. Comparison na clouds haiepukiki kwa sababu fiesta ndiyo tamasha linalofanya vizuri kwa sasa. Ingekuwa siyo sawa kama angelinganisha wasafi festival na kijitamasha cha ajabu.
 
Kama namuona Boss Ruge kijasho kinavyomtiririka. Kwenye tamasha usimsahau Jide na Sugu tafadhali[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…