Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
- Thread starter
- #21
Una tatizo kubwa kwenye argumentation skills zako. Unawezaje kucriticise bila kuonesha mbadala? Nikisema haujielewi utasema nimekutukana?Kichwa cha habari kimekaa kihovyo hovyo.... jifunze kuandika, otherwise waache wafanye wasanii wapate pesa na wafanyabiashara na wananchi waburudike