Diamond aja na Wasafi Festival kushindana na Fiesta?

clouds bwana ..wanafikiri wao ndo madon mjini kwamba wao ndo wanashikilia mafanikio ya mtu..wapuuz sana
 
Clouds media wamefanya kazi kuifikisha hapo ilipo!....biashara ya media siyo mchezo!
Hamna kitu kigumu chini ya jua, as long uwe na plan. Kabla ya cloudsfm kulikuwa na Radio one na radio free Africa. Kutoka na plan zao CMG kuwa nzuri , radio one ishappromoka sasa hivi cloudsfm. Hamna mtu aliyezaliwa kuwa namba moja ila juhudi zako, kujituma na mipango ndio humfanya mtu afanikiwe.
 

This is not Creativity buddy its something he should/should have done. you cannot call doing what you are supposed to do creativity? yaani mwanamuziki kuandaa matamasha ya muziki ni creativity? kweli?

Craetivity is more than that friend but it all depends with our thinking. it may be creativity to you but to me its not!!

The term creative might be subjective to some of us.
 
Wasafi Beach Party 2017 haikua kama walivyotarajia, matokeo hayakuwa makubwa
 
Wasafi Beach Party 2017 haikua kama walivyotarajia, matokeo hayakuwa makubwa
Ilikuwa zaidi ya walivyotarajia Jangwani ilikuwa nyomi na Iringa napo show ilifanyika uwanjani na watu walijaa ukibisha nenda YouTube kajionee. Yaani kitu kisiwe successful, alafu uandae tena, ukiona mpaka wanaandaa tena jua ilikuwa successful.
 
Well ni mtizamo wako na naheshimu sasa ni vizuri utuambie hiki anachotaka kufanya ni nini, kama sio creativity.And what term nilitakiwa nitumie?
 
Clouds TV na EATV yupi alianza?
 
Brz king kong FIESTA siku hizi haina mvuto na amsha amsha kama zile za zamani sijui vyuma vimewakaza
May be "irons are tightening" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hahaa "they are fighting with their conditions" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Acha mahaba, hata WASAFI ni brand pia
 
SOMENI MICHAEL PORTER COMPETITIVE FORCES NDIO MTAMUELEWA VIZURI SIMBAAAA
 
Kama habari hii ni ya ukweli,Hakika Huyu dogo anaweza akawa ndiye mkombozi halisi wa wasanii,Mungu bariki kazi za Diamond platnumz,dogo ana juhudi na maono sana,bariki sana,muepushe na husda za wana wa Adam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…