Diamond ajenga nyumba yake na kuweka swimming pool ndani

Diamond ajenga nyumba yake na kuweka swimming pool ndani

iyo swimming pool ingekuwa upstairs ningempa big up lakini iyo ya chini he deserves.

Wabongo kwa kujiweka juu hamjambo, eti ingekuwa upstairs mpfyuuuuu we hata ya chini uko nayo? Ulaya kwenyewe watu wana mihela lkn hawacomplicate, ndio kupenda vtu vya juu juu watu wanauza poda. Huo ni uchizi na ulimbukeni

Ila sorry umeniuzi kwa comment yako kikweli
 
Mwananyamala na Swimming Pool wapi na wapi??
 
Kunatofauti kati ya neno ndani ya nyumba yake na katika eneo la nyumba yake mana ukisema ndani ya nyumba yake unamaanisha indoor swiming pool na hii ya diamond sio indoor pool...big up diamond

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Unayo shilingi ngapi hapo mfkoni!!

mfukoni sina kitu coz nimevaa bukta,bank nna mil15,nje nimepaki gari ya mil17,my house worth more than 80k thous,what more can I say??

±±±±±±±±±
20 grand in the left
Another 20 in the right
Got my wallet in the back
And that thing packed tight
Credit cards don't need 'em
All the birds won't feed 'em
While I'm sitting at the table just me and family
eatin'
E-class on the cell; discussing another mill'
Gucci Gucci bottle empty, daddy needs a refill
±±±±±±±±±
 
Kinachowakost wasanii wengi ni kufail kuandaai future yao. ni wazuri sana katika present tuu.
Si ajabu huyo diamond akishafutika kwenye ramani ya muziki utamkuta kona baa anapiga watu mizinga wamnunulie bia na hilo jumba atakuwa kashaliuza kitambo.
Rejea kwa mista naisi.
mr nice hakuwahi kuwa na nyumba
 
Naona kama ipo nje na sio ndani. Mtu anakuwa tajiri anapokuwa na pesa mpaka uzeeni. Hata nyumba zinauzwaga wakati wa shida. Ni mapema mnoooo.
 
Hiyo si swimming pool ni fish pond

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kuna uwezekano wowote wa kupata contacts za hao mafundi wanaojenga hiyo swimming pool? Natafuta fundi.
 
mfukoni sina kitu coz nimevaa bukta,bank nna mil15,nje nimepaki gari ya mil17,my house worth more than 80k thous,what more can I say??

±±±±±±±±±
20 grand in the left
Another 20 in the right
Got my wallet in the back
And that thing packed tight
Credit cards don't need 'em
All the birds won't feed 'em
While I'm sitting at the table just me and family
eatin'
E-class on the cell; discussing another mill'
Gucci Gucci bottle empty, daddy needs a refill
±±±±±±±±±
Will you mind if you transcript it in current dollar currency!
 
Kuna uwezekano wowote wa kupata contacts za hao mafundi wanaojenga hiyo swimming pool? Natafuta fundi.

kwenda zako sema unatafuta contact za diamond mafundi wapo kibao mitaani tena na mabango wameweka
 
Hela nyingi anatumia kuishi maisha ya ki super star na nyingine anawapa kina dada wa mjini wamuwekee bank, anasikia raha sana akiitwa sukari ya warembo, muulizeni Mr.Nice Yuko wapi sasa!!!

Hapana bana.nyumba sio mchezo maana hadi uwanja wa net ball si mchezo
 
Ur not rich until you have something that money can not buy.....
 
±±±±±±±±±±



Changamoto hizo,vijana wengi wanafikiria ukisoma ndio unakuwa na hela thus y nimewaambia check Diamond hana hata degree lkn anakimbiza hadi ma-prof.

Wanakula ujana kwanza,kujenga baadae.
 
ukienda Malaysia kila Apartment ina swimming pool na ni kitu cha kawaida sana lakin nawashangaa mnaona ni issue kubwa kweli umasikin mbaya
 
Back
Top Bottom