Diamond ajisalimisha Polisi baada ya kuvunja sheria za Barabarani

Aisee nilikua na shughuli zangu central police nikakuta huyu kijana anachukuliwa maelezo sijajua ni maelezo gani ila pia si mgeni machoni mwangu japo jina lake nimelisahau.

 



Ni siku kadhaa tangu mwana Jf mwenzetu alipoleta habari kuhusu huyu
Mwanamziki nguli" Naseeb Abdul. Aka Diamond platnumz.. Kuendesha gari akiwa ameachia mikono huku akicheza"


Hatimaye leo serikali imedhihirisha, kweli ukifanya kosa lazima uadhibiwe
Haiangalii cha maarufu wala_ _ _

Mi wenu boy mzuri aksante
 
Tuwe makini sanaa na vitu tunavyopost mitandaoni awamu hii watu watanyoooka zaidi ya ruler
 
Hapo kwenye red,sawa boy wetu mzuri tumekusoma.
 
Huu ni ujinga tu.tukienda police kama mimi hapa majuzi nimekamatwa nimefunga mitaa ya kuwindia ndo nipige picha nirushe mtandaoni?yaani hii dunia jamani..!!!
 
Pole Nifah naona wewe ndio umepelekwa mahabusu ya Jamii forum
 
Huu ni ujinga tu.tukienda police kama mimi hapa majuzi nimekamatwa nimefunga mitaa ya kuwindia ndo nipige picha nirushe mtandaoni?yaani hii dunia jamani..!!!
Huoni kuwa na kamanda naye alikuwa amejiandaa kupiga picha.
kwa namna flani ni sawa maana akiorusha diamond ni kama kampeni flani inawafikia vijana wengi na kuwakumbusha kufunga mkanda kuliko mtu ambaye siyo mashuhuri hata akipiga picha akaweka watakaoona na kufuatilia wachache.
Nadhani kamanda mpinga pia kosa la diamond kalitumia kama kufikisha ujumbe kwa wengine kwa picha.
 
Mhalifu anaenda kupiga picha na polisi. Si amethibitika kuwa ni mkosaji na amepigwa faini. Kwa hiyo baada ya hapo ni muda wa picha.

Daah ngoja na mm siku nakamatwa baada ya kupigwa faini ntamuomba trafiki nipige nae picha.. sijui ataniongezea faini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo kuanzia sasa hivi baada ya kulipa faini tunatwanga photo
 
Jamaa amekujibu hapo chini
 
Huu ni ujinga tu.tukienda police kama mimi hapa majuzi nimekamatwa nimefunga mitaa ya kuwindia ndo nipige picha nirushe mtandaoni?yaani hii dunia jamani..!!!
The problem ni kwamba, hata huyo police constable hawezi kupiga picha na wewe let alone kamishina!!!

Na ukipiga wakati upo ndani lazima ule kibano... kwahiyo usiongee mambo ambayo huwezi kuyafanya hata kama ungetaka kufanya hivyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…