Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Dah. Yan umekamates unapiga picha na police mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna lolote. Hakuna kampeni yoyote hapo.Huoni kuwa na kamanda naye alikuwa amejiandaa kupiga picha.
kwa namna flani ni sawa maana akiorusha diamond ni kama kampeni flani inawafikia vijana wengi na kuwakumbusha kufunga mkanda kuliko mtu ambaye siyo mashuhuri hata akipiga picha akaweka watakaoona na kufuatilia wachache.
Nadhani kamanda mpinga pia kosa la diamond kalitumia kama kufikisha ujumbe kwa wengine kwa picha.
Ndo maana unajiita g taxi yeye anajiita dimond... Hamfanani, fanya yako na yeye afanye yake.Huu ni ujinga tu.tukienda police kama mimi hapa majuzi nimekamatwa nimefunga mitaa ya kuwindia ndo nipige picha nirushe mtandaoni?yaani hii dunia jamani..!!!
Yani kitendo chao cha kuwekwa ndani tayari ilikuwa kampeni tosha wewe huoni kuwa imesambaa hadi humu ndani ulikuwa mjadara mkubwa na picha juu.Hakuna lolote. Hakuna kampeni yoyote hapo.
Kwa nini na watuhumiwa wa madawa akina wema nao hawajapiga picha na Sirro??
Bas apo mnavopenda kugeza na nyie mtapiga kwel[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo kuanzia sasa hivi baada ya kulipa faini tunatwanga photo
Upige kama nani sasa na wewe. ..[emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo kuanzia sasa hivi baada ya kulipa faini tunatwanga photo
Una akil sana aisee... NimekusomaYani kitendo chao cha kuwekwa ndani tayari ilikuwa kampeni tosha wewe huoni kuwa imesambaa hadi humu ndani ulikuwa mjadara mkubwa na picha juu.
Sasa angelipa faini tu akaondoka tungelijua wapi lakini hizo picha si unaona hata mwenyewe kazipost na ujumbe murua kabisa wa kutukumbusha kufunga mkanda tofauti na madawa kukamatwa kwao tu ilikuwa gumzo na watu wanaofanya walianza kaa chonjo.
Ila ingekuwa mimi ndiye nimepiga picha nikapost hata zisingekuwa na impact.
Ingekuwa mimi ndiye niliwekwa ndani kwa ajili ya tuhuma za dawa hata isingekuwa na impact and no body would have known labda watu wangu wa karibu.
Hii ndiyo tofauti ya mtu mashuhuri na wengine na ndiyo maana hata makampuni yakitaka matangazo yanatafuta watu mashuhuri japo wanawalipa pesa kubwa tofauti na wangemtumia mtu wa kawaida.
Mkuu....Wampeleke kwa mkemia mkuu apimwe mkojo na damu kwanza halafu waende nyumbani kwake wampekue chumba hadi chumba.