Diamond akana kumpigia magoti Zari ili warudiane

Diamond akana kumpigia magoti Zari ili warudiane

VILE DUA YA MASKINI KWA TAJIRI HUWAGA HIVYO,POLE MKUU TATZO NI SISI MASKINI KUWAOMBEA ANGUKO WALO NACHO
Duh!!!we jamaa unaonekana mwenye chuki sana,hasa kwa wa2 waliofanikiwa zaid yako.
Sidhani Kama mmemuelewa? Hana Nia mbaya nadhani anachokiongea kina ukweli ndani yake maana waliomzunguka si kwamba ati wanampenda sana Diamond kipo wanachompendea hasa huyu Hamisa niishie hapo
 
Haahahaha kajamaa kajinga kweli,, nawanaume wajifunze , kuna mwanamke ukiachana naye. Nisawa nakwamba umeamua kupishana na Furaha !!.

Huyu jamaa hata afanye nn. Hata atembee na nani?? Hatokaa asimfikirie Zary. Sikwasababu wamezaa, bali nikwasababu anajua Zary ndio alikua mtu sahihi ila.ndooo zileee "am a superstar"
Ni Kweli kabisa
 
Jamaa asipojiangalia atakuja kuwa na mwisho mbaya sana. Na alivyo na akili ndogo na elimu zero, Atakuja kufulia huku akiandamwa na MADENI na KESI ZA KUFA PUNDA.
- KESI ZA MASLAHI kutoka kwa kina MABETO, HARMONIZE, ZARI, WATOTO, SALLAM SK, TALE, BIMA ZA NYUMBA n.k na wakati huo amebaki peke yake na mama yake tu !
Samvu la Kopo
 
Hahahahahahaaaaaa Mda Mwingi nipo porini nakata mkaa,jioni ndio naingia town kupumzika si unajua jiwe kayumbisha equilibrium.

Uwe mkweli kaka!!! unakata mkaa ama unafukua Tanzanite? Kuna wambeya hapa JF wanasema upo merererani na wewe umezungushiwa ukuta.
 
Haahahaha kajamaa kajinga kweli,, nawanaume wajifunze , kuna mwanamke ukiachana naye. Nisawa nakwamba umeamua kupishana na Furaha !!.

Huyu jamaa hata afanye nn. Hata atembee na nani?? Hatokaa asimfikirie Zary. Sikwasababu wamezaa, bali nikwasababu anajua Zary ndio alikua mtu sahihi ila.ndooo zileee "am a superstar"
AND SHE KNOWS HOW TO MAKE MONEY TOO. SHE IS AN ASSET /A MONEY MAKER - OTHERS ARE EXPENDITURE
 
Jamaa asipojiangalia atakuja kuwa na mwisho mbaya sana. Na alivyo na akili ndogo na elimu zero, Atakuja kufulia huku akiandamwa na MADENI na KESI ZA KUFA PUNDA.
- KESI ZA MASLAHI kutoka kwa kina MABETO, HARMONIZE, ZARI, WATOTO, SALLAM SK, TALE, BIMA ZA NYUMBA n.k na wakati huo amebaki peke yake na mama yake tu !
We jamaa mchawi vibaya mno, yani hufai katika jamii.
 
habari za chini ya kapeti kwa snitch mzuri mzuri zinasema eti kumbe zari alikuwa anamnyima K Dai sababu ya kuhofia mimba za kizembe jamaa akazila akaamua kuachana naye mazima
 
Uwe mkweli kaka!!! unakata mkaa ama unafukua Tanzanite? Kuna wambeya hapa JF wanasema upo merererani na wewe umezungushiwa ukuta.
Hahahaa Mbuguni nilikuwepo 2008 sijabahatika kupata jiwe nikaachana nayo kwa sasa nakomaa na mkaa tu unalipa,mambo ya kukaa chini ya ardhi kutafuta kitu kisichonekana siyataki.
 
Back
Top Bottom