Dharra
JF-Expert Member
- Jun 23, 2017
- 1,661
- 2,963
Kaka King Kong III mbona umekuwa adimu siku hizi. Ama ndio vyuma vimekaza mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VILE DUA YA MASKINI KWA TAJIRI HUWAGA HIVYO,POLE MKUU TATZO NI SISI MASKINI KUWAOMBEA ANGUKO WALO NACHO
Sidhani Kama mmemuelewa? Hana Nia mbaya nadhani anachokiongea kina ukweli ndani yake maana waliomzunguka si kwamba ati wanampenda sana Diamond kipo wanachompendea hasa huyu Hamisa niishie hapoDuh!!!we jamaa unaonekana mwenye chuki sana,hasa kwa wa2 waliofanikiwa zaid yako.
Hahahahahahaaaaaa Mda Mwingi nipo porini nakata mkaa,jioni ndio naingia town kupumzika si unajua jiwe kayumbisha equilibrium.Kaka King Kong III mbona umekuwa adimu siku hizi. Ama ndio vyuma vimekaza mkuu?
Ni Kweli kabisaHaahahaha kajamaa kajinga kweli,, nawanaume wajifunze , kuna mwanamke ukiachana naye. Nisawa nakwamba umeamua kupishana na Furaha !!.
Huyu jamaa hata afanye nn. Hata atembee na nani?? Hatokaa asimfikirie Zary. Sikwasababu wamezaa, bali nikwasababu anajua Zary ndio alikua mtu sahihi ila.ndooo zileee "am a superstar"
Samvu la KopoJamaa asipojiangalia atakuja kuwa na mwisho mbaya sana. Na alivyo na akili ndogo na elimu zero, Atakuja kufulia huku akiandamwa na MADENI na KESI ZA KUFA PUNDA.
- KESI ZA MASLAHI kutoka kwa kina MABETO, HARMONIZE, ZARI, WATOTO, SALLAM SK, TALE, BIMA ZA NYUMBA n.k na wakati huo amebaki peke yake na mama yake tu !
Hahahahaaaa unamaanisha huyu makintoshNasikia Zari anatoka na Ringo!
Rafiki yake na TINHahahahaaaa unamaanisha huyu makintosh
Hahahaaaaaaaa we jamaa unamasialaRafiki yake na TIN
Hahahahahahaaaaaa Mda Mwingi nipo porini nakata mkaa,jioni ndio naingia town kupumzika si unajua jiwe kayumbisha equilibrium.
AND SHE KNOWS HOW TO MAKE MONEY TOO. SHE IS AN ASSET /A MONEY MAKER - OTHERS ARE EXPENDITUREHaahahaha kajamaa kajinga kweli,, nawanaume wajifunze , kuna mwanamke ukiachana naye. Nisawa nakwamba umeamua kupishana na Furaha !!.
Huyu jamaa hata afanye nn. Hata atembee na nani?? Hatokaa asimfikirie Zary. Sikwasababu wamezaa, bali nikwasababu anajua Zary ndio alikua mtu sahihi ila.ndooo zileee "am a superstar"
We jamaa mchawi vibaya mno, yani hufai katika jamii.Jamaa asipojiangalia atakuja kuwa na mwisho mbaya sana. Na alivyo na akili ndogo na elimu zero, Atakuja kufulia huku akiandamwa na MADENI na KESI ZA KUFA PUNDA.
- KESI ZA MASLAHI kutoka kwa kina MABETO, HARMONIZE, ZARI, WATOTO, SALLAM SK, TALE, BIMA ZA NYUMBA n.k na wakati huo amebaki peke yake na mama yake tu !
100% kweli.... Bila shaka naww unafanana naye ktk kutafuta .AND SHE KNOWS HOW TO MAKE MONEY TOO. SHE IS AN ASSET /A MONEY MAKER - OTHERS ARE EXPENDITURE
HOPE WE RE THREE, AND YOU100% kweli.... Bila shaka naww unafanana naye ktk kutafuta .
nko poa sana cjui wewe? hali ya hewa huko uliko vp?Hahahahaaaaa jamani kumbe!sikujua ati.
U hali gn mama?
Hahahaa Mbuguni nilikuwepo 2008 sijabahatika kupata jiwe nikaachana nayo kwa sasa nakomaa na mkaa tu unalipa,mambo ya kukaa chini ya ardhi kutafuta kitu kisichonekana siyataki.Uwe mkweli kaka!!! unakata mkaa ama unafukua Tanzanite? Kuna wambeya hapa JF wanasema upo merererani na wewe umezungushiwa ukuta.