Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
kwanini we nyani?
Nizichukue za nini? Huyo mdada angejikalia zake tu akala raha zake na hao rafiki zake na wala asingepatwa na hiyo dhahma ya kupuuzwa. Na kama ni mtu wa kujifunza na kuelewa basi atakuwa amepata fundisho zuri!
Safi sana Diamond.


