Diamond akataa hela ya Wema stejini...

Diamond akataa hela ya Wema stejini...

muuza sura unashawishika kijana alikataa pesa za yule binti kwa sababu ya wivu?

wivu plus kushikwa akili!shosti unajua nini!diamond alikuwa anampenda sana wema tena sana mpaka wema alikuwa anamuonea huruma!tatizo wenye kisu wameingilia kati penzi lao, na vilevile diamond ofa za kuwapa mikuno madem wengine anapata sana ndo zinampa jeuri, ila kwa wema mapenzi bado yapo na wema kazi ya mnyamwezi anaikubali!hapo ndo kazi sasa!achague pesa au mikuno
 
Dogo needs to let it go, ushamba umepelekea akashindwa kujuwa what time is business and what time is personal.
 
wivu plus kushikwa akili!shosti unajua nini!diamond alikuwa anampenda sana wema tena sana mpaka wema alikuwa anamuonea huruma!tatizo wenye kisu wameingilia kati penzi lao, na vilevile diamond ofa za kuwapa mikuno madem wengine anapata sana ndo zinampa jeuri, ila kwa wema mapenzi bado yapo na wema kazi ya mnyamwezi anaikubali!hapo ndo kazi sasa!achague pesa au mikuno
kaam ni hivyo wanatia huzuni aisee
 
Nani anakimbiza hiyo?

Mtoni side ipi?

houston kama sijakosea!...sijajua nani kajiweka si unajua bado mpyampya mjini na kipindi anaondoka wakali hawakuwa wengi mjini kama siku hizi!manake siku hizi kuna mastar wa movie,bongo flavour ambao wanakula sahani moja na washua wahongaji!kama haupo katika kundi hilo mojawapo basi jmushi unamwaga mpunga kupitia kwa dalali tu inategemea na company yake...
 
Na kampani yake ndo nani?
 
Kuna watu mnajua kufukunyua maisha ya hawa vijana.!!
 
Kha huyo diamond kafanya mambo ya kitoto sana ..hata kama mna bifu na mtu sio mambo ya kudhalilisha namna hiyo mtu katoa kiingilio chake kuja hii inaonyesha bado anathamini muziki wake....
huyu jamaa ni wa kiume kumbe
:Wema ni muda wa ku move on sasa Kasome binti
 
Ulishasema inawezekana kuna bifu kilichomfanya kunyanyuka kwenda kumtunza ni kitu gani??? Safi sana Diamomd

binadamu hawaachi kusema angepokea binadamu wangesema vile vile.
 
sasa jokate huwa anabisha nini? hadi saa hizi bado anakanusha kwamba hakipigi na diamond?
 
Ulishasema inawezekana kuna bifu kilichomfanya kunyanyuka kwenda kumtunza ni kitu gani??? Safi sana Diamomd

binadamu hawaachi kusema angepokea binadamu wangesema vile vile.

Umepatia haswa. Diamond was damned either way!
 
Wema.JPG
Wakati akitoa pesa na kukataliwa!!
Wema.JPG2.JPG
Akirudi kuketi kwa aibu!!
Wema.3.JPG
Akibembelezwa na marafiki zake aachekulia kwa aibu aliyopewa na Diamond!!
 
Back
Top Bottom