Diamond akiendelea kula kuku wakienyeji atakuja kubambikiwa kesi ya ubakaji

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Unaacha wanawake kariba ya Zari unaenda kudeti na kuku wa kienyeji asiyemudu hata kulipa kodi ya chumba sebule Tabata.

Mwanamke mjinga asiyejua kalenda zake,mwanamke unatoka nae bongo mpaka South Africa kumbe yuko period hata hajui gharama ulizotumia kwa tiketi ya ndege na hotel.

Kuna siku atakutana na kuku wa kienyeji aliyepangwa mwenye njaa kali apewe kesi ya ubakaji,ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno
 
Nataka nielewe...

"sasa serikali inaamia dodoma - hata mabalozi!?"

"Wametaka wenyewe - mafukara kwa sababu ya CCM"

"Tanzania ni nchi Tajiri sana ina madini adimu sana duniani - Mzungu kuwa masikini G20"

 
Nataka nielewe...

"sasa serikali inaamia dodoma - hata mabalozi!?"

"Wametaka wenyewe - mafukara kwa sababu ya CCM"

"Tanzania ni nchi Tajiri sana ina madini adimu sana duniani - Mzungu kuwa masikini G20"

View attachment 3248134
 
Upo sawa ila mpaka huyu jamaa atoke na demu unakuta ameshamjua A mpaka Z
 
Watayamaliza nje ya mahakama .

Kesi kama hizo ni kwa watu wasio na hela.
Nje ya mahakama unalipa mpunga mrefu kumhonga hakimu na huyo kuku wa kienyeji
 
Ndoto ya wanaume ni kula vibinti vidogo vya miaka 18-27 hivi. Hao wakina zari washajichokea tu ni masurgery yanakuchanganya.
 
Mutu ya sisitim na chama hiafanywi chochote, Kule Goma tunasema Nguvu ya Mamba Iku- Mayi
 
Ndoto ya wanaume ni kula vibinti vidogo vya miaka 18-27 hivi. Hao wakina zari washajichokea tu ni masurgery yanakuchanganya.

Kwanza mademu wazee wanajifanya wanajua sana . Chukua kidemu cha first year, ukisikia kinaomba hela ujue elfu 7
 
Diamond anaangalia frequency zaidi ndo anachezea hapo na sio makalio ,ukubwa wala uzuri wa Mwanamke.

Hao Kuku wa kienyeji Kama wanaoandisha frequency zake zinakuwa juu sio rahisi awaache maana yeye mondi anachopambania Kwa sasa ni energy tu na sio umaarufu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…