mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Unaacha wanawake kariba ya Zari unaenda kudeti na kuku wa kienyeji asiyemudu hata kulipa kodi ya chumba sebule Tabata.
Mwanamke mjinga asiyejua kalenda zake,mwanamke unatoka nae bongo mpaka South Africa kumbe yuko period hata hajui gharama ulizotumia kwa tiketi ya ndege na hotel.
Kuna siku atakutana na kuku wa kienyeji aliyepangwa mwenye njaa kali apewe kesi ya ubakaji,ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno