Diamond akiri kumpenda Omotola wa Nigeria


Kwanza kabisa diamond sio mtoto kiasi hicho kuongea upuuzi huo, amefanyiwa interview na media zaidi ya 10, je wanayoiongelea ni ipi???

Hata hivyo, never underestimate the power of love & attraction, unaona kama omotola yupo juu kila mtu ana nyota yake, afu diamond anakubalika kinoma nadhani ndio msanii wa kimataifa mwenye nidhamu zaidi ukiwataja 3
 
Strategy za kibiashara hizo, japo historia inamuhukumu mdau.
 
​Safi kijana kwa kujua kucheza na akili za watu

Kama global wanacheza na akili za watu kwanini diamond asicheze nazo? Kuna watu washaamini hivyo? Zamani nilikuwa nawashangaa sana ma star wa mbele kitu kidogo tu mtu ataongelewaaa, kwa sasa naelewa kwanini, Publicity is publicity.
 

Povuuuuu teh teh!
 

Narudia tena OMO SEX hawezi share shuka na tandale type!
 
Niandikeni na mimi, namkubali kitambo, watoto 4 cjui lkn anaonekana mbichiii, anakula nini huyu mrembo
 
We dada unahasira sana na DIAMOND vipi aliahidi kukuoa halafu kakumwaga nini maana umekosa hata hoja ya kujibu

Umejuaje kama na hasira?..hoja ipi hiyo unayoizungumzia labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…