Yaani kama kweli diamond kasema hivo basi kiki zake za kimaku maku! Hivi OMO SEX huyu alivyo matawi zamaradi kajitiaga kumuuliza kama anamjua KANUMBA akasema hajawahi hata msikia! Anaweza kuwa analiwa sana tu lakini hakika sio kwa level za diamond, yaani yeye kumpata ZARI bac anaona anaeza pata demu yeyote! Yeye asubiri akwanguliwe vijisenti vyake then ndukii arudi tena kwa MUHESHIMIWA buana.
Kwanza kabisa diamond sio mtoto kiasi hicho kuongea upuuzi huo, amefanyiwa interview na media zaidi ya 10, je wanayoiongelea ni ipi???
Hata hivyo, never underestimate the power of love & attraction, unaona kama omotola yupo juu kila mtu ana nyota yake, afu diamond anakubalika kinoma nadhani ndio msanii wa kimataifa mwenye nidhamu zaidi ukiwataja 3