Diamond akiwa Malaysia

Diamond akiwa Malaysia

Sijaelewa kitu hspa bado, labda mlets mada hajawahi kulala Hotel. sisi tunaolala Hotel kwenye room za Presidential suite sijui tusemeje!! keeli ulimbukeni mbaya sana.

prezdentiaaallllll eeeh bwanah??? Bas sawa presdent
 
Mkuu tushajua unalala presidential suite .. Tutakuanzishia thread .. ACHA tumjadili dimond kwanza

umeona eeh? Yaan huyu nna uhakika kama c anafanya kaz hotel bas alisoma au huwa anasikia kwenye story bt hana lolote c wa mbele wala nyuma. Mwanaume mzma huwez kujivunia ujinga
 
umeona eeh? Yaan huyu nna uhakika kama c anafanya kaz hotel bas alisoma au huwa anasikia kwenye story bt hana lolote c wa mbele wala nyuma. Mwanaume mzma huwez kujivunia ujinga

Ni house keeper Bondeni hotel ya Magomeni mapipa.
 
Mdogo wangu mimi sina ubaya na kazi yako na namkubari sana boss wako.
Ila nakushauri acha suala la kuongelea mshahara maana kuna watu wanalipwa mshahara na marupurupu makubwa kiasi kwamba wakikutajia utakimbia.
We endelea kutuhabarisha kuhusu diamond mambo ya mshahara wako achana nayo
 
nimesoma katikati ya mstari " labda cjaelewa vyema " hebu angalia ulivyoandika then ufafanue vyema GRAM 1. sawasawa na sh ngapi za bongo

#akachagua huu mzigo wa gram 87.97 sawa na million 8 na laki saba na elf tisin na saba za kibongo#

umetoa ktk tarakimu umekuja kuchangana maneno na tarakimu cjakuelewa ujue
 
I know but nazungumza na baadhi ya watu humu wanaoongea vitu visivyo na kichwa wala miguu
na kuponda uji*ga
 
mkuu uwe unatupa updates tu haina haja ya maneno ya kejeli ndo mana wanakujibu vibaya
 
1239882_502398856504768_1469263861_n.jpg

asee hii ni hatari....!!
 
Naendelea kuwapa updates za huku
View attachment 112977
Duka la Varusai jewellers
View attachment 112978
akachagua huu,mzigo wa gram 87.97 sawa na
million 8 za kibongo
View attachment 112981
View attachment 112982
Akihesabu Dollar alipe
View attachment 112983View attachment 112983
Muuzaji akizihakiki
View attachment 112984
Hotelini ikiwa shingoni

Then unauliza me nalipwa sh ngapi?haha ha ha.keep diss and hating
.
keep hating

kama ni duka nalolijua mimi hapo Masjid jamek mmeibiwa labda ingekua Klcc,pavillion..nk
 
Telll them,tatizo watanzania wana wivu sana wa kike,hawapend maendeleo ya mtu

we mtoto ukome watanzania akina nani? usitugeralize kwa ujinga wenu ukisema watz unajumuisha wasomi,,viongoz na woote ktk tumuonee wivu huyo kwa lipi? hela zake zinatupunguzia nn sisi? tuone wivu hatuli kwa ajili yake ndo tabu ya kutopoga shule mnaongea upumbavu tu
 
Kama wewe vile
 
Watanzania bana,me nimetoa taarifa kuwa
mwanamzik wa Tanzania,Diamond na WCB wameshafika nchini Malaysia
Tayari kwa kufanya concert kesho.na hapo
hajiwakilishi yeye tu,anatangaza na kuwakilisha nchi yetu pia
watu wanaanza kujadili,kuponda kitanda/chumba duuh
kWA HILI NIKO PAMOJA NAWE!
 
akapige show zake za kwenye club tu hahah za watz
na arudi kwa babe ake wema
 
Back
Top Bottom