Sijaelewa kitu hspa bado, labda mlets mada hajawahi kulala Hotel. sisi tunaolala Hotel kwenye room za Presidential suite sijui tusemeje!! keeli ulimbukeni mbaya sana.
prezdentiaaallllll eeeh bwanah??? Bas sawa presdent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa kitu hspa bado, labda mlets mada hajawahi kulala Hotel. sisi tunaolala Hotel kwenye room za Presidential suite sijui tusemeje!! keeli ulimbukeni mbaya sana.
Mkuu tushajua unalala presidential suite .. Tutakuanzishia thread .. ACHA tumjadili dimond kwanza
umeona eeh? Yaan huyu nna uhakika kama c anafanya kaz hotel bas alisoma au huwa anasikia kwenye story bt hana lolote c wa mbele wala nyuma. Mwanaume mzma huwez kujivunia ujinga
Mdogo wangu mimi sina ubaya na kazi yako na namkubari sana boss wako.
Ila nakushauri acha suala la kuongelea mshahara maana kuna watu wanalipwa mshahara na marupurupu makubwa kiasi kwamba wakikutajia utakimbia.
We endelea kutuhabarisha kuhusu diamond mambo ya mshahara wako achana nayo
Ni house keeper Bondeni hotel ya Magomeni mapipa.
Naendelea kuwapa updates za huku
View attachment 112977
Duka la Varusai jewellers
View attachment 112978
akachagua huu,mzigo wa gram 87.97 sawa na
million 8 za kibongo
View attachment 112981
View attachment 112982
Akihesabu Dollar alipe
View attachment 112983View attachment 112983
Muuzaji akizihakiki
View attachment 112984
Hotelini ikiwa shingoni
Then unauliza me nalipwa sh ngapi?haha ha ha.keep diss and hating
.
keep hating
Telll them,tatizo watanzania wana wivu sana wa kike,hawapend maendeleo ya mtu
we mtoto ukome watanzania akina nani? usitugeralize kwa ujinga wenu ukisema watz unajumuisha wasomi,,viongoz na woote ktk tumuonee wivu huyo kwa lipi? hela zake zinatupunguzia nn sisi? tuone wivu hatuli kwa ajili yake ndo tabu ya kutopoga shule mnaongea upumbavu tu
kWA HILI NIKO PAMOJA NAWE!Watanzania bana,me nimetoa taarifa kuwa
mwanamzik wa Tanzania,Diamond na WCB wameshafika nchini Malaysia
Tayari kwa kufanya concert kesho.na hapo
hajiwakilishi yeye tu,anatangaza na kuwakilisha nchi yetu pia
watu wanaanza kujadili,kuponda kitanda/chumba duuh
Kama wewe vile
Kama wewe vile
asee hii ni hatari....!!