balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Iondoe wewe na kiperepere chakohizo avatar mnazoweka mnawaaibisha wahusika wa hizo picha.
Yaani unakuta mtu kapost kitu
ukiangalia avatar na kitu alichoPost hata haviendani..
nakushauri umuondoe huyo mtu
hapo humtendei haki.. siamini kama angeona picha inatumiwa na mtu kama kama angekuangalia tu!