Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

Kwa mastaa Wa bongo ni kawaida.wapo wengine wanavua nguo hadharani
 
Tatizo Amekulia Tandale Na Mbaya Zaidi Amekimbia Umande Na Ndomana Hajitambui.Kutokana Na Umburula Alionao Ndomana Anaiga Hata Mambo Kishenzi Ambayo Hayafai Katika Jamii.Matusi Kama Haya Hayakubaliki Katika Jamii Ya Kitanzania.Ukiwa Kama Kioo Cha Jamii Unatakiwa Uwe Na Dhima Ya Kua Mfano Bora.Kwa Umburula Alionao Anataka Kujifananisha Wanageria Wakati Yeye Ni Mtanzania.
Siwezi Kua Fan Mtiifu Wa Mburula Kama Huyu!
 
Mkuu naninkakwambia DIAMOND ANAHITAJI MAMBURURA KAMA WW MUMPE GUNDU AWE MLINZI WA WANYAMA PORI KWA KUJITOLEA KAMA KIBAKULI????

WASAAAAAAFI HATUNA SHIDA HIZO TUNAVUNJA TU VIZA

HIYO ZAWADI YAKO KUTOKA KWA PRESIDENT
 
Tatizo Ulilonalo Unadhani Jf Ni Mahali Pa Kuleta Ubishi Wa Kitoto Dogo.Inaonekana Balehe Yako Ya Kwanza Imekujia Vibaya.Ila Ukirudi Shule Msalimie Ticha Wako Wa Nidhamu.
 
Dada yangu mbona unajishushia heshima yako kwa kutetea vitu vya kipuuzi kama hivi....hata kama kuna watu hawampendi na wanamuombea mabaya mbona hiyo ni kawaida hapa duniani.....kwanini asitumie chuki zao kama changamoto za kawaida za kimaisha...

Heshima gani twaongelea hapa nimekuuliza swali tu kutokana na uliyoyaandika na kadole kamoja kanawatoa wengi maneno mengi sana utazani sijui nani hawekagi dole hivyo maishani pia ka vile kila mtu hana haki ya kujibu kwa kutumia vidole anavyojisikia. niambie wapi ulitetea yanayomkuta nisome mie kwanza. ingekuwa kila picha alopiga kaweka dole hivyo eeeeehhhhh hata mie ningesema sasa ya ukutani ataipatia wapi ila picha moja kati ya maelfu na maelfu ya mamia ndio ishu...aaaaggghhh nasi tufikirie. je alimtumia mtu picha hiyo...

heshima kukuuliza swali?

wasanii wangapi picha za uc.hi au na ukaribu wa hivyo zimejaa ukigugo tu unazikuta na wanataka kazi za kuongoza wananchi munawafurahia so kidole hicho kosa wapi linamwaribu mtoto wa nani? alikokulia kuna zaidi ya hayo mbona.

#watanyooka tu
 
ndio maana hata kura sikupiga, niliadhimia hivyo tangu alipoonesha unafiki kwenye KTMA, ..
saiz kawa nominated tena category sita na 1 ya collabo ila kwq ujinga wake sitathubutu kumpigia kura, bora niache tu maana mtu anabebwa lakini habebeki

Save your energy jibebe mwenyewe ufanikiwe!

Kuhusu tuzo za KTMA ilikuwa lazima zikosolewe kwani zina udhaifu katika Mchakato wake hadi zinatolewa.
Najua utaniuliza lilee swali lenu la siku zote eti kwanini kipindi yeye amechukua nyingi hakulalamika.
Jibu hapa ni rahisi tu kipindi anachukua tuzo hizo alikuwa bado underground alikuwa hana exposure ya kujua tuzo zingine zinachakatwa vipi, kwahiyo ameshakuwa na uelewa wa kutosha na anaona mambo yanakosewa ulitaka awe mnafiki awachekee tu? Ifikie muda lazima tuzo hizi za kibongo zibadilishe mfumo wa utolewaji wake uzingatie vigezo kadhaa na si kura peke yake.

Ieleweke tu kuwa kukosoa kitu haimaanishi umekidharau. Ila unataka kiwe bora zaidi.
 
Msanii anatokea kwenye jamii hilo ni la kwanza, ukimuona anabehave kama anavyobehave ujue ndivyo jamii yake ilivyo. Hii ndiyo maana halisi ya neno msanii ni kioo cha jamii (Reflection).

Wasanii wetu ni malaya, wana matusi na tabia kibao mbaya just like wanajamii wengine walivyo , wala msitake kumbebesha msanii umalaika kwamba ye anapaswa kufanya mazuri tu! Wala wasanii kuwa inspiration kwa young generation haiwapi wao mzigo wa kuwafundishia watoto wenu maadili mema.

Kwahiyo tujitahidi kila mmoja wetu alee mtoto wake katika maadili mema ili tutengeneze wanajamii wabaadae (wakiwemo wasanii) wenye maadili mema.

wape wape hao umeshuka hadi raha kama hawaelewi

#watanyooka tu
 
Diamond ajafika umaarufu wa Lucas aka mr nice lkn Leo hii you wapi? Juma nature, ay, fa, jaydee, pr j, na ze like

Ebu thibitisha kwa facts n evidence kuwa diamond bado hajafikia umaarufu wa mr. Nice...au ndo bado ubongo wako ni wa miaka ya 70 wakati unaishi miaka ya 2000 sasa!

OK mm ni miaka ya 70 koz ww ni wa 2010's ndo maana hujui kutofautisha ukweli wa mambo
 
Tatizo Ulilonalo Unadhani Jf Ni Mahali Pa Kuleta Ubishi Wa Kitoto Dogo.Inaonekana Balehe Yako Ya Kwanza Imekujia Vibaya.Ila Ukirudi Shule Msalimie Ticha Wako Wa Nidhamu.

Mkuu usijibizane na watu ambao kwao maana ya ushabiki ni kufurahia kila lifanywalo na msanii wao hata kama ni la kipuuzi....
Kwa kifupi watu hao huwa wanajitoa fahamu ingali wana akili timamu....
 
15911_10152939945601366_4617794453429971274_n.jpg

Hii ni ishara dhahiri juu ya tusi kubwa si kwa wanaompinga tu hata kwa wale waliomfanikishia kuchukua tuzo hiyo,

Hivi saidi fella hana designer? Jamaa anavaa kama mganga wa kienyeji...
 
umeishiwa hoja unakimbilia sekondari????

Mtanyooka tu!!!

Na baaado!!!!

Comment Zako Nyingi Zimejaa Ubishi Wa Kitoto Husiokua Na Kichwa Wala Makalio.Ni Vizuri Urudi Shule Ili Ubongo Ukue Na Angalau Uelemike Kidogo.Ili Badae Uje Kua Member Mwenye Tija Zaidi Hapa Jf.Kwasasa Jf Umepotea Njia Japo Taifa Bado Linakutegemea.Sawa Dogo?
 
Tatizo Amekulia Tandale Na Mbaya Zaidi Amekimbia Umande Na Ndomana Hajitambui.Kutokana Na Umburula Alionao Ndomana Anaiga Hata Mambo Kishenzi Ambayo Hayafai Katika Jamii.Matusi Kama Haya Hayakubaliki Katika Jamii Ya Kitanzania.Ukiwa Kama Kioo Cha Jamii Unatakiwa Uwe Na Dhima Ya Kua Mfano Bora.Kwa Umburula Alionao Anataka Kujifananisha Wanageria Wakati Yeye Ni Mtanzania.
Siwezi Kua Fan Mtiifu Wa Mburula Kama Huyu!

Usije hata sie hatukutaki. Halafu acha kumuiga Dogofgod Mwandiko wake😂😂😂😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Tatizo Amekulia Tandale Na Mbaya Zaidi Amekimbia Umande Na Ndomana Hajitambui.Kutokana Na Umburula Alionao Ndomana Anaiga Hata Mambo Kishenzi Ambayo Hayafai Katika Jamii.Matusi Kama Haya Hayakubaliki Katika Jamii Ya Kitanzania.Ukiwa Kama Kioo Cha Jamii Unatakiwa Uwe Na Dhima Ya Kua Mfano Bora.Kwa Umburula Alionao Anataka Kujifananisha Wanageria Wakati Yeye Ni Mtanzania.
Siwezi Kua Fan Mtiifu Wa Mburula Kama Huyu!

The tandalez aren't royal mydear.
Yaani nimemdharau sana huyu mtu kuiga tuu.
 
Back
Top Bottom