Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

Mimi ni mshabiki wa diamond, lakini yeye kama icon ya taifa, hakutakiwa kufanya hivyo. Hata kama kuna haters, unawapuuza
 
Tunachoomba uongozi wa nchi ujao uwekeze nguvu nyingi kwenye kudhibiti hii biashara ya madawa ya Kulevya kwa kufanya hivyo nafikiri hawa tunaowaona eti leo hii ni mameneja wa wasanii wetu huku wakiwa wanajipatia fedha kwa kupitia kuharibu vijana wetu watatulia na kujikita kwenye shughuli halali na hawatakuwa na mambo ya kijinga kama haya.pia tusisahau inawezekana kabisa hawa wasanii wetu ndio mabegi ya kusafirisha hiyo mizigo yao.
 
Walivyoning'iniziwa dole la Davido, kimyaaaa, sijui liliwaenea, limefuata la Diamond, watu wanalia lia... sijui lina kucha!!
 
inategemea na wewe mwenyewe unataka upate aibu au usipate, yanini kujipanikisha wakati maisha ni mafupi mno?
Kama kapiga picha ya uchi nitamuita nitamkanya ili siku nyingine asirudie, Enhe kwani hata nimkikasirikia hiyo picha ndio itafutika? Je ndo sitapata aibu?

Kwani ku comment kwenye page yake kuna kufanya vipi hilo dole lisikuhusu? Mi nasema hivi ukiamua likuhusu linakuhusu usipo amua halitokuhusu! What a trouble in paradise?

#Haters be like this tandalean boy ana dharau!
#I be like Bitch! Does that middle finger concerns to you! !!?????????

Hujaelewa nilichokiandika, unaongozwa na hisia tu hujahusisha judgement faculty yako.
 
Mi nlidhani diamond peke yake ndio anayepokewaga hivi kumbe wengi tu.
 
kibogo atakuwa anawatia dole nyie mlioshindwa kumpa sapoti.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom