Mrugaruga soldier
Member
- Jul 16, 2015
- 59
- 17
Mimi ni mshabiki wa diamond, lakini yeye kama icon ya taifa, hakutakiwa kufanya hivyo. Hata kama kuna haters, unawapuuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu kama hicho kwenye burudani...Akiendelea hivi atapoteza hata mashabiki wake tuzo moja ndio imemchanganya akili mpaka anaongea maneno ambayo hayakustahili kutolewa kwenye media
inategemea na wewe mwenyewe unataka upate aibu au usipate, yanini kujipanikisha wakati maisha ni mafupi mno?
Kama kapiga picha ya uchi nitamuita nitamkanya ili siku nyingine asirudie, Enhe kwani hata nimkikasirikia hiyo picha ndio itafutika? Je ndo sitapata aibu?
Kwani ku comment kwenye page yake kuna kufanya vipi hilo dole lisikuhusu? Mi nasema hivi ukiamua likuhusu linakuhusu usipo amua halitokuhusu! What a trouble in paradise?
#Haters be like this tandalean boy ana dharau!
#I be like Bitch! Does that middle finger concerns to you! !!?????????
naona unalia lia tu..
HIYO NDIO DAWA YENU HATERS
MTANYOOKA TU!!!!