Diamond alimuimbia Wema Sepetu nyimbo nyimbo tamu, chungu na chachu..

Diamond alimuimbia Wema Sepetu nyimbo nyimbo tamu, chungu na chachu..

Nataka kulewa, wimbo wa kwaito Ila hauchezeki maana dai alivyolalamika humo, kweli alishikwa pabaya [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Embu naomba hizo nyimbo 2 za sinta kutoka kwa nature ukiachana na inaniuma sana naomba majina ya hizo nyimbo 2
 
Hakuna kama I miss you
Tatizo mimi sijui
Nini kosa langu
Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga
Nawaza ila siambui ama shida zangu uuu..
Simba nikawa chui mi roho inaniumaga
Yawezekana ahadi zangu zisizotimia
Ndio maana haukutaka kusubiria
Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia
Chai mchana usiku dona kurumaghia
Nilitamani sana ila nguvu yangu pale iliishia
Ningalikua na uwezo ningekutimizia
Ningali unafuraha haya maumivu ntayavumilia
Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh!!
 
"ukimwona"
"Lala salama"

Hili jamaa mwanzo lilikuwa linaimba unyama sana .
Pia naomba kwanini nyimbo hizo mbili hakuzitolea video
 
Back
Top Bottom