Kisa demuEmbu naomba hizo nyimbo 2 za sinta kutoka kwa nature ukiachana na inaniuma sana naomba majina ya hizo nyimbo 2
Okay na hio ya mwisho naomba kuijuaKisa demu
Lkn haukomi tu mkuu umo tu!Kinachonisikisha hii nyimbo haina video [emoji24][emoji24]
Ww acha tuu boss, kila nnayempata baada ya muda kidogo ananipiga na kitu kizito kichwani
Napambania nisipopendwa ππLkn haukomi tu mkuu umo tu!