Diamond alipaswa kulala ndani na kushtakiwa kwa kufanya fujo uwanja wa ndege

msamheni kaonyesha uhalisia wake..kazoea daladala za tandale hata ikiwainaondoka utaambiwa mwana panda tu..
 
Wewe kwanini uliuza ticket yake kwa Mzungu? Huoni kuwa hazikutoshi!? We ndo unatakiwa kufutwa kazi na kulala ndani kwa ufwala unaofanya kwenye ofisi ya umma!
 
"
  • Naomba nisisitize kuwa Siku ya jana tareh 16 | 12 Mimi Nasibu Abdul Juma Issaack, na nilokuwa Nasafiri nao Tokea Mwanza Sikuchelewa ndege Kabisa..Nilifika Muda Sawia kama Usafiri wa ndege za ndani unavyotaka, na kulidhihirisha hilo.. nikiwa niko pale kuna hata Abiria wengine waliingia nusu saa baadae, tena nikiwepo nimesimama palepale... na mmoja ya watu waloingia nikiwepo nimesimama ni @Harmonize_tz ... kilichotokea ni kuwa Mmoja ya watu wenye dhamana pale, siti zetu aliziuza kwa abilia wa fastjet...kwa Abiria watalii wazungu, na Walichokuwa hawajajua pia waliwauzia na baadhi ya Watu ambao ni wafanyakazi wetu wa Wasafi Media...Na Kuthibitisha tena kuwa hatukuchelewa, alikuja tena Mtu wa Air Tanzania na Kutuambia kuwa Siti zimebaki Mbili...Hivyo Tuchague watu wawili tu wasafiri.... kama kweli tulichelewa, sasa Hao wawili, sasa wangewezaje ingia??? tukasema hatuwezi safiri wawili lazima tuwe wote kama tulivyokata... hivyo ni dhahiri kuwa hatukuchelewa....ila kutokana na Ndege nyingi za kuja mwanza zilicancel Trip zao, ikiwepo Fastjet hivyo Tickets zikawa ni Dili sana na ndio yote kutokea....
    USHAURI tu kwa Ndugu zetu walopewa dhamana ya Kuliendesha shirika letu la Air Tanzania....tutambue kuwa Mh Rais, Pamoja na Serikali nzima kwa Ujumla imepambana Usiku na Mchana, imeamua kujinyima na kujitoa kwa hali na mali ili kuhakikisha Watanzania nasi tunakuwa na Ndege zetu, kwa kuamini kuwa Licha tu ya kuingiza kipato, lakini Uwepo wa Air Tanzania ni Heshima na fahari kwenye nchi Yetu....Hivyo tunaomba Mzisimamie Vizuri....na nikiwa kama Mtanzania Mzalendo Mwenye akili Timamu, siwezi tu kukurupuka kusema jambo kwani ni jukumu langu kuhakikisha nalilinda shirika hili, nalitangaza na kuwasifia wanapopatia lakini pia ni jukumu langu kuwaambia Mnapokosea ili mfanye marekebisho na AirTanzania kuwa shirika bora Duniani na kuipa sifa Nchi yetu... hivyo nikiwa kama Mtanzania mwenye uchungu siwezi kuona mtu alopewa dhamana ya Kuzisimamia ndege hizo anafanya vitu tofauti halaf eti nikakaa kimya...Ni sawa na Kumvunja moyo Mh Raisi na Serikali nzima kwa juhudi zake hizi... hivyo Mlopewa Dhamana tunaomba Muwe Makini, na kusimamia vyema ili tusitie doa kwenye ndege zetu
    ...
"
Kama hiki anachokiongea Diamond ni kweli kwa wenzetu ulaya hapa ukifungua kesi ya madai ya kumpotezea mda wake (time is money) mahakamani ,unakula hela ndefu na mimi naona ni kweli sababu AirTanzania wamesema saa saba wangelielezea hili jambo kwa undani zaidi lakini mpaka hivi sasa ni saa kumi bado wapo kimya.Hapo ndio utagundua mashirika mengi ya serikali yana matatizo upande wa customer care.
 
Mtu kudai haki yake baada ya kuona hatendewi sawa ni kufanya fujo?

Kweli mmefundishwa uoga.......nini maana ya demokrasia na uhuru wa kujieleza huko kwenu?
.
.
Anaweza kuwa amefanya kosa lakini si hilo la kufanya fujo.
 
Just Stupid!! Don't try act like you know everybody.. Unanijua? FYI I am frequent flyer with two flagships!

Ficha upumbavu wako na sio werevu wako! pathetic
Hahahaa, wtf! Frequent flyer hujui taratibu za kawaida kabisa za usafiri wa ndege? My foot, eti frequent flyer!

Acha ujuaji wa kishamba, kapamde ndege siku moja hata videnge vinavyoenda mafia au flight link bei kidogo ujifunze.

Ungekua frequent flyer usingeongea hizi hovyo hovyo ulizoandika hapa, labda kama ni frequent flyer wa ungo ila sio ndege.
 
Diamond alikuwa akizozana na watu wasiohusika ('Aviation Security staff')..
Alitakiwa aende kwenye ofisi za ATCL akawalalamikie.. Pale alikuwa anafanya fujo tu.. 'He needs to grow up'..
 
Rudia kusoma hizi hovyo hovyo zako uone umeamdika nini.

Kuna mahala nimelalamima kuchukuliwa video, kuna mahala nimesema mimi ndie nimerekodiwa? Kuna mahala nimesema mimi ni mtumishi wa umma au atcl kwa namna yoyote ile?

Rudi shule uongeze maalifa. Nakuhakikishia kua knowledge will seriously demage your stupidity.
 
Mbona kuna waliofika saa hiyo hiyo kina diamond wakiwa hapo,na officer pale akaulizwa hana jibu,we mbuzi kweli
 
Sasa huyo anayehitaji ukimuuzia atatumia muda gani Kama muda wa check in umeisha???

Kaa kimya tu ndugu Kama hujui jambo.

Kuuza ticket ya mtu ni jambo lisilokubalika maana hata Kama kachelewa si kashalipia??? Utaratibu mbovu First Class huu.
 
Get a life my sister, mimi ni mume wa mtu, mke wangu akijua unataka nikufanye kimada atakuumiza dada, tafta mume uolewe achana na sisi waume za watu.
Wooo!!! some blabber mouth punk ass..... Why don't you put sugar on your tiny asshole and start fucking yourself .... Lmfao... Mke wa mtu.... my ass....
 
Sasa huyo anayehitaji ukimuuzia atatumia muda gani Kama muda wa check in umeisha???

Kaa kimya tu ndugu Kama hujui jambo.

Kuuza ticket ya mtu ni jambo lisilokubalika maana hata Kama kachelewa si kashalipia??? Utaratibu mbovu First Class huu.
Dogo, ngoja nikusaidie.

Kuna mtu anaweza kua kachelewa kukata tiketi na mfumo wa kukata tiket sa safari husika ukawa umefungwa, hvyo hawezi kupata tiketi.

Jnaenda uwanja wa ndege, unachek in kama kawaida kama msafiri mwingine, ukaenda kwa wawakilishi wa kampuni ya ndege husika walioko ndani, unawaomba kama kuna msafiri hatatokea wakuuzie hiyo tiketi. Hvyo unakaa hapo ndani unasubiri muda wa kucheki in ukiisha wao wanaangalia nani hakuja siti iliyo wazi wanakuuzia.

Sio lazima ukate tiketi kabla, unaweza kwenda uwanja wa ndege kwa hizi safari za ndani, ukasubiri nani hatatokea ili uuziwe tiketi yake.

Nadhani umeelewa. Usafiri wa ndege sio kama wa daladala na kama hujawahi kupamda ndege haya huwezi kuyajua. Achana na hadith za vijiweni.
 
Mbona kuna waliofika saa hiyo hiyo kina diamond wakiwa hapo,na officer pale akaulizwa hana jibu,we mbuzi kweli
Ni Kweli mimi naweza kua mbuzi ila maelezo au video ya mumeo diamond haielezi mambo mengi, inawezekana wale wakawa wasafiri au staff wa pale ywanja wa ndege, wao wanaingia na kutoka muda wowote.

Taarifa ya upamde mmoja toka kwa mume wako haiwezi kutupatia hitimisho sahihi. Pamoja na kua najua unampenda mume wako diamond, ila huo ndio ukweli. Nadhani sasa kampooze kwa kumpa k au ambaruti yako.

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…