Diamond alipaswa kulala ndani na kushtakiwa kwa kufanya fujo uwanja wa ndege

Rudia kusoma hizi hovyo hovyo zako uone umeamdika nini.

Kuna mahala nimelalamima kuchukuliwa video, kuna mahala nimesema mimi ndie nimerekodiwa? Kuna mahala nimesema mimi ni mtumishi wa umma au atcl kwa namna yoyote ile?

Rudi shule uongeze maalifa. Nakuhakikishia kua knowledge will seriously demage your stupidity.
Ficha umbavu wako wewe umenadika hivi..........
Ni ajabu na ajabu kweli.

Sheria za uwanja wa ndege wowote ni pamoja na kutofanya fujo na kudivert attention kwenye uwanja wa ndege.

Diamond jana amefanya fujo ikiwa ni pamona na kurekodi video bila ruhusa ya mamlaka husika, kupiga kelele na kuhamisha utulivu.

Nchi masikini kama zetu haziendelei kwa sababu ya u-double standard wa watendaji wa serikali, Diamond alipaswa kua ndani kuanzia jana na leo alitakiwa apelekwe mahakamani.

Tuache kubembelezana na kuoneana aibu, kwa mtindo huu maendeleo tutaendelea kuyaona CNN na BBC........
Kwanza elewa kwamba hakuna Sheria za Uwanja wa ndege, kama unajua ipo niambie ni Sheria Namba ngapi ya mwaka gani. Kama hujui kanuni na taratibu (IATA) zinazoongaza usafiri wa anga, wewe ndo urudi shule ukasome, nina uhakika hata ndege haujawahi panda, uakaona namna wasafiri wanavyobehave ndani ya ndege. Endelea kutetea kile usichofahamu.
 
Inawezekana upo sawa ....kwa nilivyomuelewa mondi ni kuwa alifika akaambiwa desk limefungwa I mean kachelewa flight ....na wakati akiendelea kukaa njee ndio aliona baadhi ya watu wanaingia ikiwemo hamornize sasa akapata shaka mbona mie nimeambia counter imefungwa ... Na kufunga counter sio kama tunavyofikiria kwenye ndege wanafunga system ambayo ipo kwenye mtandao baada ya kufanya calculation ya wait na idadi ya watu ....kilichoshangaza kuingiza watu wakati system imefungwa apo mondi ndio akaona amefanyiwa figisu ....nikiri airtzania wanatabia ya kufanya over booking kuuza tuu ticket bila kufuata utaratibu yaani system yao ni kichomi na hapo mwisho unaona tena wanamfuata mondi na kumwambia kuna siti mbili kitu ambacho aiwezekani wakati yeye na timu yake walikata mapema sana ......hapa airtzania walikosea japo nae mondi alikosea kuleta vulugu ...angewastaki kama shirika ili alipwe fidia hata kama alikuwa ana show huko aendako shilika lingemlipa wangekataa ndio angelileta huku mtandaoni
Pia inawezekana alifika mapema lakini akawa na wapambe wakati wenzake wanacheck in na muda alipotaka kucheck in akakuta desk limefungwa ingawa ndege ilikuwepo uwanjani na wenzake ambao amewatangulia wakiboard ndege.
Ninachoshangaa mimi ni yale maneno yaliyomtoka kinywani mwake. Hii inaonyesha kwamba ingawa ana fedha za kutosha, anaumaarufu lakini bado mshamba.
Kuna caption niliona akiwa na msichana huku akizungukwa na fedha. Kwa wanasaikolojia, hilo ni somo tosha kuona kuwa jamaa hajiamini bado na anawaonyesha wapinzani wake kuwa yeye yuko level nyingine[namfananisha na Mayweather, Mike Tyson na wengine wengi na ukiangalia background yao utakuta inafanana.
 
Kuchelewa hawakuambii no seat ....unaambiwa umechelewa na siti yako inabaki pale pale hata kama mteja mwingine atakuja cos ndege sio kama mabasi ni system inafungwa hawawezi ziuza tena zile za wazi ambao wamechelewa lakin wanafanya huu ujanjaujanja tuu....alafu huwajui vzur hili shilika kama unavoongea ...na sheria za ndege ukichelewa umechelewa tu ...why waseme zimebaki siti mbili Ina maana walifanya over booking baada ya kuona safari za ndege ya fastjet kusitisha huduma kitu ambacho ni kibaya cos ni kosa kwenye ndege siti kuuzwa Mara mbili kwa watu tofauti so atakae wahi ndio ataingia na system inazidi jaa....mie ishawahi tokea siti yangu tupo wawili yaani boarding pass imeandikwa siti wote sawa bahati nzuri ndege ilikuwa haijajaa so lilikuwa sorved lakin ingekuwa iko full ingekuje hili shilika wajipange kwa kweli ....
Ok sio kusema no seat lakini kuna system ya waiting list watu hawana confirmed booking huwa wanaambia nendeni airport ikitokea no show unaitwa mnapewa chance, sasa kuna muda wanaweka ukifika abiria hajatokea au hawajatokea wanaitwa waiting list na kupewa pass. hawa wa waiting ni wale wamekosa lakini wanataka kusafiri wanapoteza nauli za airport kwa kuomba mtu asitokee au kuchelewa wapate wao. Hili la watu fastjet kupewa limeongelewa na mtu mmoja tu hatuna uhakika kama ni kweli na kama ni kweli ni sehemu ya waiting list. yeye kwenye video kasema wameuziwa wazungu. Muhimu ndege nikufika mapema kwa airport zetu 2 hours minimum.
 
Ficha umbavu wako wewe umenadika hivi..........
Ni ajabu na ajabu kweli.

Sheria za uwanja wa ndege wowote ni pamoja na kutofanya fujo na kudivert attention kwenye uwanja wa ndege.

Diamond jana amefanya fujo ikiwa ni pamona na kurekodi video bila ruhusa ya mamlaka husika, kupiga kelele na kuhamisha utulivu.

Nchi masikini kama zetu haziendelei kwa sababu ya u-double standard wa watendaji wa serikali, Diamond alipaswa kua ndani kuanzia jana na leo alitakiwa apelekwe mahakamani.

Tuache kubembelezana na kuoneana aibu, kwa mtindo huu maendeleo tutaendelea kuyaona CNN na BBC........
Kwanza elewa kwamba hakuna Sheria za Uwanja wa ndege, kama unajua ipo niambie ni Sheria Namba ngapi ya mwaka gani. Kama hujui kanuni na taratibu (IATA) zinazoongaza usafiri wa anga, wewe ndo urudi shule ukasome, nina uhakika hata ndege haujawahi panda, uakaona namna wasafiri wanavyobehave ndani ya ndege. Endelea kutetea kile usichofahamu.
Ona ulivyo na akili ndogo.

Jambo moja nimeelewa kwako ni uko na limited exposure na little learning.

Hujui kama viwanja vya ndege vina sheria zake na taratibu, hakuna kitu kisicho na sheria na taratibu zake.

Huwezi kufika uwanja wa ndege ukaanza kupiga mayowe na makelele eti hakuna sheria za uwanja wa ndege, sasa kama hakuna sheria watu si wangekua wanapita tu bila hata ukaguzi na hata vituo vya polisi au askari wasingekuwepo uwanjani, wanafanya nini kama hakuna sheria.

Jambo lingine ulivyo na akili ndogo unashindwa kutofautisha kubehave kwenye ndege na kubehave kwenye uwanja wa ndege kabla ya ndege kuruka, lakini pia hakuna anaepiga mikelele kwenye ndege, kuna flight safety rules.

Rudi shule sister, acha kudandia mambo usiyoyajua. Tafta mwanaume hata mume wa mtu akulipie ada usome uongeze uelewa.
 
Haya Mama, nimekuelewa.
 
mkùu nashuķuru umefafanua viźuri naomb unijuze ñauli ya mbeya to dar bei gn kweny shirika letu pendwa
 
Ni ajabu na ajabu kweli.

Sheria za uwanja wa ndege wowote ni pamoja na kutofanya fujo na kudivert attention kwenye uwanja wa ndege.

Diamond jana amefanya fujo ikiwa ni pamona na kurekodi video bila ruhusa ya mamlaka husika, kupiga kelele na kuhamisha utulivu.

Nchi masikini kama zetu haziendelei kwa sababu ya u-double standard wa watendaji wa serikali, Diamond alipaswa kua ndani kuanzia jana na leo alitakiwa apelekwe mahakamani.

Tuache kubembelezana na kuoneana aibu, kwa mtindo huu maendeleo tutaendelea kuyaona CNN na BBC.
Ndio ujiulize kwanini walimuacha ?! Ina maana uwanja hauna police na security ....jibu wapo wengi tuu ....lakini kosa lilikuwa LA shilika ndio maana hata police waliona ukakasi uingilia maana hata upende wao kulikuwa na kosa kubwa mno
 
Ni ajabu na ajabu kweli.

Sheria za uwanja wa ndege wowote ni pamoja na kutofanya fujo na kudivert attention kwenye uwanja wa ndege.

Diamond jana amefanya fujo ikiwa ni pamona na kurekodi video bila ruhusa ya mamlaka husika, kupiga kelele na kuhamisha utulivu.

Nchi masikini kama zetu haziendelei kwa sababu ya u-double standard wa watendaji wa serikali, Diamond alipaswa kua ndani kuanzia jana na leo alitakiwa apelekwe mahakamani.

Tuache kubembelezana na kuoneana aibu, kwa mtindo huu maendeleo tutaendelea kuyaona CNN na BBC.
Kama mpaka sasa yupo nje basi kajenga precedence nzuri.
 
Dogo, ngoja nikusaidie.

Kuna mtu anaweza kua kachelewa kukata tiketi na mfumo wa kukata tiket sa safari husika ukawa umefungwa, hvyo hawezi kupata tiketi.

Jnaenda uwanja wa ndege, unachek in kama kawaida kama msafiri mwingine, ukaenda kwa wawakilishi wa kampuni ya ndege husika walioko ndani, unawaomba kama kuna msafiri hatatokea wakuuzie hiyo tiketi. Hvyo unakaa hapo ndani unasubiri muda wa kucheki in ukiisha wao wanaangalia nani hakuja siti iliyo wazi wanakuuzia.

Sio lazima ukate tiketi kabla, unaweza kwenda uwanja wa ndege kwa hizi safari za ndani, ukasubiri nani hatatokea ili uuziwe tiketi yake.

Nadhani umeelewa. Usafiri wa ndege sio kama wa daladala na kama hujawahi kupamda ndege haya huwezi kuyajua. Achana na hadith za vijiweni.
Hairuhusiwi kuuza ticket ya mteja hata kama amechelewa cos ukataji unafanyika kwenye system na jina limeingizwa ....hata akichelewa ukitaka kuuza system haiwezi badilisha jina LA huyo mtu na labda wamsafirishe huyo MTU kwa jina LA mteja aliyechelewa kitu ambacho ni kosa kisheria ....na pesa waliyopewa na mteja huyo mpya haiingizwi kwenye mauzo inakuwa yao nalo ilo ni kosa ....so msiongee tuu kwa mnavyofanyiwaga magendo mkajua ni utaratibu na hii ndio sababu security wa pale walishindwa kumuadhibu mondi cos walikuwa wanayajua .....
 
Back
Top Bottom