Ficha umbavu wako wewe umenadika hivi..........Rudia kusoma hizi hovyo hovyo zako uone umeamdika nini.
Kuna mahala nimelalamima kuchukuliwa video, kuna mahala nimesema mimi ndie nimerekodiwa? Kuna mahala nimesema mimi ni mtumishi wa umma au atcl kwa namna yoyote ile?
Rudi shule uongeze maalifa. Nakuhakikishia kua knowledge will seriously demage your stupidity.
Ni ajabu na ajabu kweli.
Sheria za uwanja wa ndege wowote ni pamoja na kutofanya fujo na kudivert attention kwenye uwanja wa ndege.
Diamond jana amefanya fujo ikiwa ni pamona na kurekodi video bila ruhusa ya mamlaka husika, kupiga kelele na kuhamisha utulivu.
Nchi masikini kama zetu haziendelei kwa sababu ya u-double standard wa watendaji wa serikali, Diamond alipaswa kua ndani kuanzia jana na leo alitakiwa apelekwe mahakamani.
Tuache kubembelezana na kuoneana aibu, kwa mtindo huu maendeleo tutaendelea kuyaona CNN na BBC........
Kwanza elewa kwamba hakuna Sheria za Uwanja wa ndege, kama unajua ipo niambie ni Sheria Namba ngapi ya mwaka gani. Kama hujui kanuni na taratibu (IATA) zinazoongaza usafiri wa anga, wewe ndo urudi shule ukasome, nina uhakika hata ndege haujawahi panda, uakaona namna wasafiri wanavyobehave ndani ya ndege. Endelea kutetea kile usichofahamu.