Diamond alipaswa kulala ndani na kushtakiwa kwa kufanya fujo uwanja wa ndege

Press imefanyika mbona kimyaaa? Hebu wekeni ukweli tujue ukweli wa tuhuma hizi maana ni juzi tuu waziri amelalamika shirika kuhujumiwa, Air Tz na Mamlaka ya viwanja vya ndege ama waje watoe maelezo ya kilichotokea au Diamond afikishwe mahakamani kwa kufanya fujo Airport. Vinginevyo tuhuma za Mh waziri zinathibitishwa na tukio hili kuwa ni kweli kuna hujuma dhidi ya shirika hili ili wateja wakimbie.
 
Kama kweli wewe ni frequent flyer na hujui kuwa ukichelewa ndege kama kuna abiria ambaye yuko kwenye waiting list basi yeye ndiyo anapewa hiyo nafasi basi hiyo sifa yako ya frequent flyer haina maana tena! Jitahidi ufuatilie mambo ili uwe frequent flyer wa maana!! Tena kwa wenzetu wa dunia ya kwanza ulete ujinga wakati umechelewa mwenyewe kama hujalala ndani na kesho yake mahakamani. Diamond anatakiwa ajifunze ustaarabu kama anataka kuheshimika sasa na baadae!
Mkuu unaongelea ideal situations..nchi zetu hizi mambo hayaendi hivyo, nakupa experience yangu. Yakiwa hayajakukuta unaweza kujudge kirahisi sana kwamba Diamond alichelewa.
Mwaka jana nilikua nisafiri na PW MWZ-DAR nilifika airport mwanza 2 hours before departure tukakosa ndege tulikua watu 8.. utetezi wao ni kwamba ndege imejaa na rubani ameamua kuondoka na abiria wachache ili kupunguza uzito.. Ilikua sababu ya kitoto mno ambayo hatukukubaliana nayo ikabidi nitafute mtu wa ndani PW nimueleze kilichotokea ndio nikapewa mkanda mzima, kumbe kuna wasafiri waliokosa Fast jet asubuhi walifanyiwa mpango PW tena waliambiwa kabisa wasiondoke airport au wafike 3 au 4 hour before. Kwa sababu kulikua na ndege ingine ya PW inapita Kilimanjaro na ilikua na nafasi basi wale 8 tukaombwa tusubiri zaidi ya saa moja na nusu ingine ili tupandishwe ndege ambayo haikua yetu.

Watu wanakula deal na kwa sababu hakuna system za kueleweka za kuwawajibisha hawa watu wanachukulia poa tu... Fast jet DAR-Mbeya ndio sina hamu nayo kabisa hiyo story zake ni shida zaidi
 
Pole mkuu!!
 
Kama kweli wewe ni frequent flyer na hujui kuwa ukichelewa ndege kama kuna abiria ambaye yuko kwenye waiting list basi yeye ndiyo anapewa hiyo nafasi basi hiyo sifa yako ya frequent flyer haina maana tena! Jitahidi ufuatilie mambo ili uwe frequent flyer wa maana!! Tena kwa wenzetu wa dunia ya kwanza ulete ujinga wakati umechelewa mwenyewe kama hujalala ndani na kesho yake mahakamani. Diamond anatakiwa ajifunze ustaarabu kama anataka kuheshimika sasa na baadae!
Huyo hajawahi kupanda ndege, ameokoteza hadith za vijiwe vya kawaha anatuletea hapa.
 
Acha ushamba.

Tiketi ya ndege hua haiuzwi kama tiketi ya daladala.

Muda wa kuchek in ukiisha wewe hujafika hua tiketi inauzwa maana haupo na ndege siti iko wazi na kuna mtu anaihitaji.

Achana na stori za kwenye vijiwe, panda ndege siku moja ujifunze.
Muda wa kuchekin umekwisha si inabidi ndege ianze safar ??😯😯😯😯😯
 
Iko hivi.

Unatakiwa ufike masaa 2 kabla ya ndege kuruka, kama unaondoka na ndege ya sa 4 kamili, inabidi ufike kuanzia sa 2 kamili. Ikifika sa 3 na dakika 20, yaani dakika 40 ifike sa 4 kamili ndege iruke hua wanafunga mlango wa kucheki in.

Maana yake kama hukufika ndani ya muda huo hadi muda wa kucheki in ukaisha, wewe hutaruka na hiyo ndege ya sa 4 kamili asubuhi.

Sasa, hua kuna watu unakuta hakukata tiketi kutokana na kuchelewa au safari imetokea ghafla inabidi asafiri, unaenda uwanja wa ndege pale mlango wa kwanza wa kucheki in unaruhusiwa kuingia bila tiketi maana unaweza kua ulibook na hukupata tiketi, hvyo jnaenda kupewa tiket ndani, unacheki in kama kawaida kisha unaenda kwenye dawati la wahudumu wa ndege husika, unawauliza kama kuna siti, wanakwambia subiri muda wa kucheki in uishe ili tujue nani hajaja tukuuzie tiketi yake.

Kweli muda ukiisha na hakuna waliotokea au walikuja wamechelewa unauziwa ile siti kisha unaungana na wasafiri wengine mnaruka na ndege.

Masaa mawili kabla ndege haijaruka hua mfumo wa kuuza tiketi unajifunga automatically, hata kama siti zipo mfumo unajifunga kuanzia mtandaoni hadi kwa wakala wale wa nje, ila wale wa ndani wanaweza kukuuzia tiketi kama abiria husika hakuja au kuna siti nyingine za wazi.

Hvyo watu wengi waliokosa au waliochelewa kubook tiketi na wana ulazima wa kusafiri muda huo hua wanafanya hvyo, wanaenda kubahatisha na kuwaombea wenzao wenye tiketi halali wachelewe au wapate dharula wasije ili wao wasafiri. Hvyo mtu kama huyo huwahi kucheki in ndani ya muda wa kucheki in hata kama hana tiketi.

Natumai umepata mwanga.
 
Ya

Nishakutana nayo kama hii!! Kutoka Dar kwenda Eswatini(Swaziland) nilichelewa ndege ya kutoka Dar kwenda Jberg ambayo ilikua naunganisha kwenda Eswatini. Ndege niliyopanda kesho yake ilikua hakuna connection ya moja kwa moja, wahudumu wa SA waliniambia nisubiri waone kama ndege iliyopo ya kwenda Eswatini itabaki na nafasi.
Nakumbuka baada ya kuambiwa nafasi imepatikana tena mimi ni mtu wa mwisho mbio nilizokimbia kuwahi gate namba 24 ambalo ndio la kuondokea siwezi kusahau 😀😀
 
Ngoja 2 aisome namba
Kada zote awamu hii lazma kusoma namba
Kwako,
Mwl Kashasha..
 
Huyo Nassib asijaribu kabisa kuhujumu shirika la ndege la serikali yetu watanzania iwe wakati huu ama wakati wowote ule kama kweli anataka kuendelea kufaidi matunda ya kazi yake bila rabsha. Na hili si kwa shirika hili bali hata mali nyingine za uma wawatanzania. Hili si ombi.
 
Mond wakati umefika nunua private jet hata kwa mkopo..
 
Ameharibu image ya shirika, hatakiwi kuachwa hivi hivi either aombe radhi
Asituletee kiki kwenye mambo serious yenye maslah ya taifa.
Hapo unaenda mbali sana. Taratibu za check in zinajulikana dunia nzima na kabla ya desk kufungwa akitokea abiria ambaye ana tiketi lakini hana confirmed booking, anapewa nafasi. Yule abiria aliyechelewa [hata kama ndege bado iko uwanjani] inabidi afanye rebooking kwa schedule nyingine.
Ukweli ninamshangaa sana huyu kijana kwani kama safari za ndege amesha safiri sana au alikuwa anachukulia kwamba kwa vile yupo TZ nyumbani na yeye kama D basi ATC watavunja taratibu atakuwa amekosea sana. Kwa matusi, mtu yeyote yule ambaye amefika upeo wa kufikiri jambo ki-mantiki basi silaha kubwa ni matusi au maneno ya hovyo na hicho naona ndiyo kipimo cha ustaarabu wa mtu.
 
Sheria ziko wazi hapa kama kachelewa check in na imefungwa ni sawa tu mimi mwenyewe nilishawahi kuachwa na Qatar sababu tu desk wamefunga japo kuwa ndege haijaondoka niliomba nilitamani mpaka kulia na sura ya yatima lakini wapi nikapigwa stop. Nikajifunza kitu siku hiyo. Kawaida ya ndege kuna waiting list watu wanaenda mapema asipotokea mtu anapewa nafasi sio ticket hiyo ni sehemu zote ndio system. Hapa tulitakiwa kujuwa je alifika wakati check in desk imefungwa? ikiwa yes basi ATCL hawana makosa na waliosambaza video waombe msamaha maana unaharibu jina ka kampuni hiyo unaweza kwenda mahakamani kama watu wako serious. Kama desk lilikuwa wazi then mteja aombwe msamaha na fidia ya siku.
Inawezekana upo sawa ....kwa nilivyomuelewa mondi ni kuwa alifika akaambiwa desk limefungwa I mean kachelewa flight ....na wakati akiendelea kukaa njee ndio aliona baadhi ya watu wanaingia ikiwemo hamornize sasa akapata shaka mbona mie nimeambia counter imefungwa ... Na kufunga counter sio kama tunavyofikiria kwenye ndege wanafunga system ambayo ipo kwenye mtandao baada ya kufanya calculation ya wait na idadi ya watu ....kilichoshangaza kuingiza watu wakati system imefungwa apo mondi ndio akaona amefanyiwa figisu ....nikiri airtzania wanatabia ya kufanya over booking kuuza tuu ticket bila kufuata utaratibu yaani system yao ni kichomi na hapo mwisho unaona tena wanamfuata mondi na kumwambia kuna siti mbili kitu ambacho aiwezekani wakati yeye na timu yake walikata mapema sana ......hapa airtzania walikosea japo nae mondi alikosea kuleta vulugu ...angewastaki kama shirika ili alipwe fidia hata kama alikuwa ana show huko aendako shilika lingemlipa wangekataa ndio angelileta huku mtandaoni
 
Mimi na wewe tunakubaliana na mengi, sasa kidogo nilete mashaka na story hizi. Kwa mijibu wa Diamond amesema Hamornize alipita baada yake tuseme hili ni kweli. unadhani Diamond asinge record kama alivyo fanya kwa yule mama? Na hao waliomfuata kweli na uhakika angerecord tu kuonesha ila sijaona zaidi ya ile video. inawezekana yule mama alishakuwa na Boarding pass alikuwa nje anaingia ndani ni kawaida kwa domestic flight. Mimi na uhakika wange record. ATCL wana mapungufu yao na sio jambo la kushangaa, mimi nimesafiri nao mara kadhaa na ukweli nimeona wako on time sasa inawezekana ni bahati sijakutana na adha hiyo kwa hiyo sina la kusema baya kwao ni kuwa wanajitahidi. ukifika 45 minutes desk closed ni simple hayo kuwa wengine baada yake na uhakika ange record tu navyomjuwa ila itabaki kuwa ni kauli zake tu bila ushahidi. yeye kazuiwa kabla ya security sio desk. ingekuwa desk liko open security wangemwacha apite angezuiwa ndani kuwa ndege iko full lakini huyu alizuiwa nje. Kama Dar airport kama desk limefungwa security watakuzuia nje kama liko open utapita Airline ndio watakwambia no seat umechelewa. nadhani ni clear
 
Kuchelewa hawakuambii no seat ....unaambiwa umechelewa na siti yako inabaki pale pale hata kama mteja mwingine atakuja cos ndege sio kama mabasi ni system inafungwa hawawezi ziuza tena zile za wazi ambao wamechelewa lakin wanafanya huu ujanjaujanja tuu....alafu huwajui vzur hili shilika kama unavoongea ...na sheria za ndege ukichelewa umechelewa tu ...why waseme zimebaki siti mbili Ina maana walifanya over booking baada ya kuona safari za ndege ya fastjet kusitisha huduma kitu ambacho ni kibaya cos ni kosa kwenye ndege siti kuuzwa Mara mbili kwa watu tofauti so atakae wahi ndio ataingia na system inazidi jaa....mie ishawahi tokea siti yangu tupo wawili yaani boarding pass imeandikwa siti wote sawa bahati nzuri ndege ilikuwa haijajaa so lilikuwa sorved lakin ingekuwa iko full ingekuje hili shilika wajipange kwa kweli ....
 
Back
Top Bottom