Dogo, ngoja nikusaidie.
Kuna mtu anaweza kua kachelewa kukata tiketi na mfumo wa kukata tiket sa safari husika ukawa umefungwa, hvyo hawezi kupata tiketi.
Jnaenda uwanja wa ndege, unachek in kama kawaida kama msafiri mwingine, ukaenda kwa wawakilishi wa kampuni ya ndege husika walioko ndani, unawaomba kama kuna msafiri hatatokea wakuuzie hiyo tiketi. Hvyo unakaa hapo ndani unasubiri muda wa kucheki in ukiisha wao wanaangalia nani hakuja siti iliyo wazi wanakuuzia.
Sio lazima ukate tiketi kabla, unaweza kwenda uwanja wa ndege kwa hizi safari za ndani, ukasubiri nani hatatokea ili uuziwe tiketi yake.
Nadhani umeelewa.