Diamond alipaswa kulala ndani na kushtakiwa kwa kufanya fujo uwanja wa ndege

Unaingiaje airpot ndani bila ticket? Maana ili uingie airpot ndani unatakiwa uone she ticket na passport au kitambulisho kwa local flight
 
Huwezi kucheck in kama dirisha limeshafungwa,ukiangalia hiyo clip chibu yuko ndani inamaana amecheck in
 
Taarifa ya upande mmoja ya nini,video inaeleza yote,yule bibi aliyepita ni stuff?kauliza mbona wale wanapita hakujibu,wote wamekaa kimya,we utakuwa ndo huyo jamaa kwenye video umekuja kujitetea,kazi unalo komaa
 
Heee heee agiza Pepsi naja kulipa
 
We ndo wasiojulikana pale uwanja wa ndege?
Maana umesema kazi yako hairuhusu kurekodiwa ukiwa kazini!
 
Taarifa ya upande mmoja ya nini,video inaeleza yote,yule bibi aliyepita ni stuff?kauliza mbona wale wanapita hakujibu,wote wamekaa kimya,we utakuwa ndo huyo jamaa kwenye video umekuja kujitetea,kazi unalo komaa

Kwani huyo aliyepita unajuaje kama sio mteja wa precision air ambaye mda wa ku check in ulikuwa bado haujafungwa?au huko mwanza inatua atcl tuu?
 

Kumbe ulikuwa wewe pole!
 
Taarifa ya upande mmoja ya nini,video inaeleza yote,yule bibi aliyepita ni stuff?kauliza mbona wale wanapita hakujibu,wote wamekaa kimya,we utakuwa ndo huyo jamaa kwenye video umekuja kujitetea,kazi unalo komaa
Sasa walikaa kimia ndio wewe uhitimishe kua hawakua staff?

Bado hyo video haitoi maelezo ambayo ni final and conclusive.
 
msamheni kaonyesha uhalisia wake..kazoea daladala za tandale hata ikiwainaondoka utaambiwa mwana panda tu..
Kijana Diamond amefanikiwa kifedha lakini bado hajakuwa cultured. Alipata bahati kubwa kuwa na Zari maana yule mama inawezekana ana matatizo yake lakini yuko cultured na ana class.
Nimejaribu kumfananisha na kijana mwenzake, wakigoma mwenzake Ali Kiba.
Tofauti zao ni sawa na tofauti ya usiku na mchana. Ukiangalia utofauti mwingine ni kwamba wakati mwenzake amelelewa na wazazi wote wawili kwenye maadili ya kiislam lakini yeye amelelewa mama yaketu ambaye kwenye ujana wake alikuwa hakosi kwenye majumba ya starehe.
Lakini akitaka anaweza kubadilika. Inachotakiwa atafute a role model ambaye atamsaidia kubadilika.
 
Ameharibu image ya shirika, hatakiwi kuachwa hivi hivi either aombe radhi
Asituletee kiki kwenye mambo serious yenye maslah ya taifa.
 
Huo upupu tu kaandika hapo
Tushamzoea ni mtu wa kutafuta kiki
 
Huo upupu tu kaandika hapo
Tushamzoea ni mtu wa kutafuta kiki
Hivi mpaka hii nayo kwa akili zako ni kiki.Basi kama ndio hivyo hata ATC nao wanapenda kiki.Tatizo lenu baada ya kudiscuss tatizo unatataka tudiscuss mtu au ndio wale wa mateam.
 
Hivi ni nini tafasiri ya neno fujo ? Ile yaweza kutafsiriwa kama fujo ?
 
Just Stupid!! Don't try act like you know everybody.. Unanijua? FYI I am frequent flyer with two flagships!

Ficha upumbavu wako na sio werevu wako! pathetic
Kama kweli wewe ni frequent flyer na hujui kuwa ukichelewa ndege kama kuna abiria ambaye yuko kwenye waiting list basi yeye ndiyo anapewa hiyo nafasi basi hiyo sifa yako ya frequent flyer haina maana tena! Jitahidi ufuatilie mambo ili uwe frequent flyer wa maana!! Tena kwa wenzetu wa dunia ya kwanza ulete ujinga wakati umechelewa mwenyewe kama hujalala ndani na kesho yake mahakamani. Diamond anatakiwa ajifunze ustaarabu kama anataka kuheshimika sasa na baadae!
 
Halafu huyo anayeuziwa ana-check in saa ngapi?[emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…