Diamond alipokutana na Kagame Rwanda alionesha Mapungufu ya Kiitifaki

Mtoa mada unazijua Standard operating procedures za diamond ama WCB ?

Diamond sio mfanyakazi wa serikali ya nchi yoyote. Yeye anafata procedure za WCB yake tu
 
Ukiandika haya unadhani ndiyo utaalikwa wewe?
Wivu tu umekujaa,kenge wewe.
Diamond ni msanii wala si mwanasiasa. Itifaki yake ndiyo hiyo aliyoionesha kwa Rais PG.
 
Wasanii wengi huwa hawajui namna ya kutoa heshima kwa viongozi wa nchi hata Malkia Elizabeth kuna wasanii walikuwa wanamsalimia kishkaji tu
Kwa hiyo ni kawaida makosa kutokea now and then
Huwa makosa yanaonekana baadae na hayazuiliki
 
Kijana umemaliza elimu yako chuo cha foreign affairs hapo, umekosa ajira ukaona bora upoteze muda wako kuwaongelea wasanii. Fanya hata entrepreneurship mdogo wangu, wewe na kujua kwako itifaki hautakaa hata kukutana na PM Majaliwa wala kuushika mkono wa Sophia Mjema, punguzeni ujuaji.
 
Nikusaidie mtoa post, Itifaki za Ikulu zinaongozwa na watu wa Ikulu husika na sio meneja wa mtu au mgeni mwenyewe. Kama Kuna mapungufu, walaumiwe watu wa Protocol za Ikulu ya Rwanda.
 
Hacha kuongelea vitu usivyovijua,
Diamond, hakwenda pale kukutana na HE Kagame, huyu ni msanii,Hana background yoyote ya kidiplomssia, wangetaka protocol ziende vzr, maofisa balozi wetu wa Rwanda walikuwa wapi? Kwanini hawakujua msanii mkubwa kutoka nyumbani Bongo anakutana na Raisi Kagame? Wangempa dondoo jinsi ya kuvaa,
Mond alijitahidi kuonyesha heshima maana alivua kofia yake alipokutana na Kagame,
Kama kuna kitu Mond alikosea, wakulaumiwa ni maofisa balozi wetu,
 
Ile wadau mnamadongo
 
Act ya unyenyekevu tu...haina ubaya wowote ni asili yetu mbona.
 
Pamoja na kwamba umeandika pumba ila hilo tukio halikuwa la kiofisi.. lilikuwa kama la kifamilia tu. Pia kumlaumu Babutale ni uwendawazimu uliotukuka. Mtu wa darasa la saba anawezaje kujua mambo ya itifaki? Mleta uzi pambana uweze kumudu gharama ya milo mitatu kwa siku. Inaonekana una njaa
 
Wewe ni POYOYO NA NDEZI SANA. Diamond hana ukubwa unaowazidi Kina Michael Jackson, Jay-Z, Tyson, Burnaboy, Rihanna nk. Usitake msanii wetu akose Point muhimu katika carrier yake, mnataka awe kama Rodman yule mcheza kikapu aliyepoteza muelekeo. USITAKE DIAMOND AWE KAMA MASANJA Mkandamizaji aliyepewa nafasi siku ya sherehe za kitaifa pale uwanja wa uhuru akatoa kauli ambayo imemuharibia heshima yake na kuonekana mjinga.
Wengi tunamkubali sana Diamond hivyo MSIKASIRIKE ANAPOELEZWA UKWELI HATA KAMA NI MCHUNGU. NADHANI NYIE HATA MNAWEZA KUMTETEA MORRISON ALIVYOHARIBU PALE IKULU.

NAJUA WENGI MNAOSHANGAA HII HOJA YANGU NI WASANII AMBAO ASILIMIA KUBWA HAMJAELIMIKA NA HAMNA EXPOSURE KABISA
 
Babu Tale naona umekuja mbio sana hapa. Halafu tumekupa Ubunge kwa heshima ya Diamond
 
Diamond ni msanii....itifaki kwa wanasiasa..
Iko sawa tu.
 
Ukiandika haya unadhani ndiyo utaalikwa wewe?
Wivu tu umekujaa,kenge wewe.
Diamond ni msanii wala si mwanasiasa. Itifaki yake ndiyo hiyo aliyoionesha kwa Rais PG.
Sawasawa 👍 👍
 
Sasa na Wewe Si umtengeneze msanii wako akashikane mkono na kagame kiitifaki?..[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…