Diamond alipokutana na Kagame Rwanda alionesha Mapungufu ya Kiitifaki

Dayamond hajasoma,meneja wake pia maamuna,wamesoma kuruwani tu🤣🤣🤣
Afu wamezaliwa na kukulia uswekeni huko
Unategemea nn?
Yule kajaliwa visenti tu Ila ni mjinga wa kutupwa
 
HIVI MENEJA WAKE NI YULE MWENYE SAUTI YA KAMAMA FLANI?
 
Mlioona clip ya juzi ikimuonyesha Diamond akiwa Rwanda na kukutana na Rais Kagame utaona Approach yake kwa kiongozi huyo ilivyokuwa na kasoro, jinsi Diamond alivyokuwa anamuongelesha Rais huyo ilikuwa kama vile anaongea na Babu Tale au mtu mwenye hadhi ya kawaida tu.

Pia alionekana mara nyingi yeye akimpa mkono Rais na hata kuutikisa. Itifaki inatuongoza kuwa kiongozi ndiye awe wa kwanza kutoa mkono wake, na ni kiongozi tu ndiye atakayetikisa mkono wako.

Simlaumu Diamond ila namshangaa Meneja wake kwa kuwa ninaamini Meneja anatakiwa kujua mambo mengi na sio mambo ya muziki tu. Meneja anatakiwa kuwa mdadisi na anatakiwa kumuandaa boss wake kulingana na nature ya tukio/occasion iliyopo mbeleni.

Tuangalie jinsi wasanii wengi wakubwa wanavyojiweka wanapokutana na viongozi wakubwa wa kitaifa. Mfano Jay-Z au Michael Jackson alipokaribishwa Uingereza na kukutana na King Charles na aliyekuwa Mkewe (Prince Diana). Kwa ukubwa na umaarufu wa Michael Jackson ulivyokuwa lakini alionyesha Approach nzuri sana kiitifaki.

Diamond kwa ukubwa na umaarufu alionao sasa ni dhahiri anahitaji Meneja msomi lakini mwenye exposure kubwa.

Kama.Kagame hajakereka basi msisumbuke sana kumsagia kunguni kijana
 
𝐚𝐮 𝐦𝐚𝐯𝐢 𝐲𝐚𝐧𝐚𝐤𝐮𝐬𝐮𝐦𝐛𝐮𝐚 𝐤𝐚𝐧𝐲𝐞
 
Mtanzania wa kweli mzalendo Diamond hongera sana sisi wafuasi wako ni daima na wewe songa mbele
 
D
Wa bongo na kukosoa kosoa hamjambo, ulitaka ampigie magoti au? jua yule ni msani maisha yake yote niakisani ndo huo usani ndo umemfanye akutane na PK, Rwanda inamhitaji sana kuipromote kuliko Diamond anavo hitaji Rwanda kumpromote,........sisi wajinga tunashindwa kutumia diamond kuuza utali wetu tuko bzy kumkosoa tu foolish.

Kijana anatuwakilisha vema, big up makosa unayatafuta wewe mpe maua yake
 
Wewe ndio unatakiwa umuogope kiongozi, mwenzio mondi keshapita huko
 
Back
Top Bottom