Diamond alipokutana na Kagame Rwanda alionesha Mapungufu ya Kiitifaki

Haya wanakuja team mondi
Tayari wameshakuja angalia tu COMMENT ZA KUNITUKANA ZINAVYOTIRIRIKA HUMU. HADI CREW NZIMA YA WASAFI MEDIA IPO HUMU NIMEONA COMMENT YA ZEMBWELA NA KITENGE . BABA LEVO NAYE KANITOLEA POVU BALAA, najua imemuuma maana yeye ni kati ya wanaompotosha sana SIMBA

Nitakoma leo
 
Wale yupo White House,vip hapa label yake chini ya Rick Ross, walikosea?

Halafu unaweza ukakuta hata huyo Diamond kafanyiwa surprise kukutana Rais, sio vitu vyote vinapangwa vingine sababu tu za kiusalama vinaweza vikawa ni siri.
 
🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtoa mada unazijua Standard operating procedures za diamond ama WCB ?

Diamond sio mfanyakazi wa serikali ya nchi yoyote. Yeye anafata procedure za WCB yake tu
Nadhani wewe kwa nafasi yako na cheo hicho ulichonacho unapaswa kujua kuwa itifaki inapaswa kuzingatiwa na yeyote yule, hasa unapo deal na VVIP.
 
Kila kitu mnachambua Hadi kupeana mikoni duh mmekuwa Kama radio fln HV inachambua Hadi jesi ya timu masaa mawili

Jusi frahani alichambua wimbo wa alikiba huku akiuponda mziki wa yanga iliyotaja mastaa
 
Sahihi kbsaa [emoji41] siyo kammleta Uzi anavyochambu maharage ya itifaki
 
Pengine hata kagame ndio amemuomba apige picha na Simba diamoby mwambino
 
Unadhani Obama akikutana na Snoop DOG..., watasalimia vipi kama sio Hommy What's Up !!!; Fo shizzle my nizzle
 
Wengi tukipelekwa shule tunaenda kucheza kumbe Kuna mada zinatusaidia mbeleni, Kuna mada tulisoma mashuleni Matumizi ya lugha ktk miktadha mbalimbali, hii mada ndio inatufundisha jinsi ya kuongea kutokana na sehemu Au mtu unayeongea naye, naona humu wanaona sawa tu kisa msanii.
 
Tuwasamehe tu maana wengi humu hawana elimu na exposure . Ndio yale mambo unampeleka mchumba kumtambulisha kwa wazazi halafu anaongea na simu anasema "kausha kausha nipo na wakwe kudadadeki"
 
Sijaona shida hapo
 
Ulitaka apige magoti unadhani kila
Mahali ni kusifu na kuabudu kama mlivyozoea wabongo?
 
Tuwasamehe tu maana wengi humu hawana elimu na exposure . Ndio yale mambo unampeleka mchumba kumtambulisha kwa wazazi halafu anaongea na simu anasema "kausha kausha nipo na wakwe kudadadeki"
Unaongea na mtu mzima mnapeana mikono, baada mtu mzima atikise mkono unatikisa we mtoto, mwee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…