Diamond alivyocheza wimbo wa King kiba kwa hisia kali

Diamond alivyocheza wimbo wa King kiba kwa hisia kali

Diamond anatikisa kichwa na kucheza kwa hisia kali sana na kuenjoy sauti ya king kama king, diamond inaonekana alimiss mziki mzuri, boss wenu amenyoooka
Alikiba anatikisa kichwa na kucheza kwa hisia Kali sana na kuenjoy sauti ya queen ZUCHU na GOAT Simba kama chibu, alikiba inaonekana alimiss hitsong na mziki mzuri, boss wenu amenyooka round hii.
 
Boss wenu kawaweza leo, mnabaki kulia lia, poleeeeeeeeh sanaah tulia hivyo hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah katuweza kwa performance Kali ya BABA LAO
 
Ccm Hoyee
Chama Dola
Imewaunganisha Wote
😁😂😀😄😄😃😃😃
 
Back
Top Bottom